Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

whats sad is. they are using his funeral as political ladder, they forget the fact no matter how much they try to clear his name he is gone and this time gone forever.
as you said. let the man rest in peace.
 
Inaweza kuwa hizi

1. Kenya
2. Rwanda
3. Burundi
4. Uganda
5.Msumbiji
6. ZAMBIA
8. SOMALIA
9.SOUTH SUDAN
10. MALAWI

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ongeza mama Yar'Adua
Mama Chiluba
Mama Zenawi
Mama Machel
Mama Satta
Mama Mwanawasa
Mama Mutharika
Mama Doe
Mama Mubarak
Mama Gaddafi
Mama Habyarimana
Mama Ndadaye
Mama Ntaryamirwa
Mama Buyoya
Mama Nkurunziza
Mama Kabila Sr.
Ondoa mama Kaunda na mama Obasanjo
 
Bado tu wanaendelea na ile tabia yao ya Kudanganyana ama ni kweli? Siamini with this Corona kama kuna viongozi 10 watakuwa kumzika....!!
 
Bora hao wanaochangidhana wenyewe. Kuna wale wanaokwenda kuzichota hazina na kujidai ni miradi na Ruzuku za chama.
 
Mhhhhh
 
Wataje...jamaa bado wanatulisha tu matango pori kama enzi za Meko😀
 
Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
Hapana, muamini aliyesema rais ni mzima na anachapa kazi, na sio mtu wa kuzurura karikoo.
 
1. Raisi wa manzese
2. Raisi wa wasafi
3. Raisi wa wacheza bao
4. Raisi wa watuma salamu redioni
5. Raisi wa Tff
6. Raisi wa ngumi
n.k
 
Museveni ni jirani zaidi. Marais wa mbali wamehudhuria kuaga mwili wa Rais wetu,iweje yeye haonekani? Ama ana udhuru? Samahani kama ni swali la kijinga ila imeniuma.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…