ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Swahiba wake mkubwa all the way from +250 sijamuona hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barakoa zao hazijakaukaNiliwahi Kusikia na Kusoma mahala hapa hapa JF kuwa Marais hawa Mahiri Wawili Museveni na Kagame kutoka Kabila lenye Akili sana Afrika la Tutsi wana Majasusi wao ambao ni Members Wenzetu hapa.
Tafadhali kama bado wapo All - Rounder nawaomba tu wanipe Maelezo ni kwanini hawapo Dodoma Kujumuika na Marais wenzao? au kwakuwa Hayati ni Comrade wao kabisa wameamua wasije leo ila Ijumaa kwa pamoja watajumuika na Wanafamilia huko Mazikoni Chato?
Nitashukuru nikijua ni kwanini hawapo.
Tatizo ni kujimwambafy... Hao mwanamke tushaagizwa tuishi nao kwa akili sana...Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Waliosema kuwa anaeamini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, ndio hao hao ktk uchaguzi wa 2015 walianza kukataa kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi. Cha kushangaza mpk leo bado wanashikilia nafasi kubwa kubwa ndan ya chama chenu na mwaka jana 2020 mliwapa ridhaa ya kugombea nafasi za juu za kitaifa ktk uchaguzi mkuu bila kuwapima vizur akili.Hapana, muamini aliyesema rais ni mzima na anachapa kazi, na sio mtu wa kuzurura karikoo.
Mimi kama mimi sijawahi kubadili msimamo wangu kuwa Lowassa ni mchafu, na hakustahili nafasi ya uongozi ndani ya nchi hii. Isitoshe mimi sio mwanachama wa cdm bali shabiki wa kutupa wa cdm, hivyo sihusiki na upatikanaji wa viongozi ndani ya cdm. Una lingine kwa msaada zaidi?Waliosema kuwa anaeamini kuwa Lowasa sio fisadi akapimwe akili, ndio hao hao ktk uchaguzi wa 2015 walianza kukataa kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi. Cha kushangaza mpk leo bado wanashikilia nafasi kubwa kubwa ndan ya chama chenu na mwaka jana 2020 mliwapa ridhaa ya kugombea nafasi za juu za kitaifa ktk uchaguzi mkuu bila kuwapima vizur akili.
Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Kwa jibu hili kwa kweli sina la kuongeza mkuu kwa vile nimegundua kuwa ww ni mpambanajiMimi kama mimi sijawahi kubadili msimamo wangu kuwa Lowassa ni mchafu, na hakustahili nafasi ya uongozi ndani ya nchi hii. Isitoshe mimi sio mwanachama wa cdm bali shabiki wa kutupa wa cdm, hivyo sihusiki na upatikanaji wa viongozi ndani ya cdm. Una lingine kwa msaada zaidi?
Ok mkuu hapa sina cha kuongeza kwa vile nimetambua kuwa ww sio bendera fata upepo. Upo tofauti na wale wanaoshikiwa akili na mwenyekiti wa chama akiwaambia waite maziwa maji wanaita, akiwaambia wakienda msalani wasitumie maji na wao hawatotumia maji nkMimi kama mimi sijawahi kubadili msimamo wangu kuwa Lowassa ni mchafu, na hakustahili nafasi ya uongozi ndani ya nchi hii. Isitoshe mimi sio mwanachama wa cdm bali shabiki wa kutupa wa cdm, hivyo sihusiki na upatikanaji wa viongozi ndani ya cdm. Una lingine kwa msaada zaidi?
Kwa jibu hili kwa kweli sina la kuongeza mkuu kwa vile nimegundua kuwa ww ni mpambanaji
Ok mkuu hapa sina cha kuongeza kwa vile nimetambua kuwa ww sio bendera fata upepo. Upo tofauti na wale wanaoshikiwa akili na mwenyekiti wa chama akiwaambia waite maziwa maji wanaita, akiwaambia wakienda msalani wasitumie maji na wao hawatotumia maji nk
Nashukur mkuu kwa mtizamo wako lkn naomba nikuulize maswali mawili kama hautojali.. unasema kwamb ww haujawahi kumkubali Magufuli kwa nafasi ya uraisi toka awamu yake ya kwanza mpk hii ya pili ambayo hajaimaliza japo unajua ni mchapa kazi (1) swali je unaweza kuniambia sabab ya kutokumkubali kwako? Pia unasema kwamb haukubaliani na Mbowe kuendelea kukalia kiti cha uenyekiti kwa zaidi ya miaka kumi (2) swali je unaweza kuniambia sababu ya kutokukubaliana na utaratibu huo wa mwenyekiti au madhara unayoyaona ktk chama kutokana na kukaa kwake muda mrefu ktk nafasi ya uenyekiti taifa?Kwa kuongezea mimi sio muumini wa kiongozi yoyote kukaa madarakani kwenye nafasi ya kuchaguliwa zaidi ya miaka 10. Mimi ni mmoja wa washabiki wa cdm ninayepinga wazi wazi Mbowe kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 10, na haya ninayosema na msimamo wangu uko wazi hapa jukwaani,na washabiki na wanachama wa cdm wanaujua msimamo huo, hata kama hauwafurahishi.
Huyo Lowassa nilipinga wazi wazi ujio wake na hata kuchaguliwa kugombea nafasi hiyo ndani ya Cdm, na ninakiri kuwa lile ni kosa la dhahiri ndani ya cdm, na viongozi wote waliohusika kwenye uhuni ule walitukosea sana. Post zangu zote kuhusu haya ziko humu humu jukwaani toka wakati huo. Na huyu Magufuli ninayempiga spana sasa hivi msimamo wangu ni huu huu toka alipokuwa rais kwa mara ya kwanza, mpaka anaingia kaburini sijawahi kumkubali kwa nafasi ya urais, japo najua fika ni mchapakazi kwa asili.
Nashukur mkuu kwa mtizamo wako lkn naomba nikuulize maswali mawili kama hautojali.. unasema kwamb ww haujawahi kumkubali Magufuli kwa nafasi ya uraisi toka awamu yake ya kwanza mpk hii ya pili ambayo hajaimaliza japo unajua ni mchapa kazi (1) swali je unaweza kuniambia sabab ya kutokumkubali kwako? Pia unasema kwamb haukubaliani na Mbowe kuendelea kukalia kiti cha uenyekiti kwa zaidi ya miaka kumi (2) swali je unaweza kuniambia sababu ya kutokukubaliana na utaratibu huo wa mwenyekiti au madhara unayoyaona ktk chama kutokana na kukaa kwake muda mrefu ktk nafasi ya uenyekiti taifa?