Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaTunazidi kujionea na wala hatusimuliwa, Tanzania ustaarabu ulianzia Pwani na kusema kweli ni moja kati ya vitu vya kujivunia kwenye siasa.
• Mikutano ya hadhara: Kaweza kuondoa vifungo vilivyowekwa dhidi ya vyama vya siasa vya upinzani kufanya mkutano
Kituo kinachofuata ni zamu ya Wakristo ndio utaratibu uliopo mpaka sasa ngoja tuone nani mwenye ubavu wa kubadili huo utamaduni !!Kituo kinachofata Lushoto
Ufisadi nao umerudi kwa spidi ya 5G ?! Au hakuna !!Kwani uwongo ??
Kuna biashara na wawekezaji kibao kwa sasa baada ya wale jamaa wa task force kuondoshwa, wale jamaa walikuwa wanafanya biashara nyingi zife, alafu pia haya sekta binafsi zimeanza kurudi kwa kasi naskia hata fast jet ipo mbione kurudi
Hatari ! Aliyeshiba hamjui mwenye njaa !!Kuna wapumbavu duniani,Yani Mchele 3000 Unaniambia habari za demokrasia
Kaiba helaBen aliuza mashirika yote ya umma na migodi kwa Bei za kutupa...aliowauzia wakamkopesha 500m,jk Kaiba nini!?
Cha Arusha sio mchezo.lissu hakuwa na ulinzi wowote alipigwa risasi zaidi ya 32 na Mungu akamponja ... huyu mtu ndo angekuwa anasema hayo maneno ya kumtegemea Mungu tungemuelewa.
Kivipi!?..maana Ben alijiuzia Hadi mgodi wa kiwira jk akaurudishaKaiba hela
Fuatilia ujue mmiliki halisi wa lake oil, gsm.....Kivipi!?..maana Ben alijiuzia Hadi mgodi wa kiwira jk akaurudisha
Akilizako fupi sana,kwa mtu anaejua kufanya tathmini hakuna chakushukuru hapo.Subiri mashambulizi na kutukanwa na mitoto ya siku hizi isiyojua kushukuru hata Kwa dogo walilopata kabla ya Ku "demand "makubwa
pascal mayala naomba next content yako utuwekee post iliyoshiba kuhusu hili jambo, najua una mengi sana..Naunga mkono hoja
P