Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

Nasema hivi "

walokua wakiishi kama malaika wataishi kama mashetani"

"Tetemeko halijaletwa na serikali "
 
Tunazidi kujionea na wala hatusimuliwa, Tanzania ustaarabu ulianzia Pwani na kusema kweli ni moja kati ya vitu vya kujivunia kwenye siasa.

Mikutano ya hadhara: Kaweza kuondoa vifungo vilivyowekwa dhidi ya vyama vya siasa vya upinzani kufanya mkutano
Naunga mkono hoja
P
 
Kwani uwongo ??

Kuna biashara na wawekezaji kibao kwa sasa baada ya wale jamaa wa task force kuondoshwa, wale jamaa walikuwa wanafanya biashara nyingi zife, alafu pia haya sekta binafsi zimeanza kurudi kwa kasi naskia hata fast jet ipo mbione kurudi
Ufisadi nao umerudi kwa spidi ya 5G ?! Au hakuna !!
 
Kweli mkuu tualiona!

Lakini

Usisahau na kujuana kwingi plus wizi na ubadhirifu na haki za wanyonge kusiginwa na wenye pesa!

Hiyo pia ni faida au sio!!?
 
Wastaha -Arabu yakhe!

Watuwekee na Sheria basi ieleweke.

Hizi ni fukutisha moshi.

Tutafika.

Kitaeleweka.
 
"Na cha Arusha hapa"

naona kama mungu wa kizungu anatuletea mwokozi wetu. aliyeponywa nae.

lissu hakuwa na ulinzi wowote alipigwa risasi zaidi ya 32 na Mungu akamponja ... huyu mtu ndo angekuwa anasema hayo maneno ya kumtegemea Mungu tungemuelewa.
Cha Arusha sio mchezo.

Nimbers12:1
PSALM 136
 
Subiri mashambulizi na kutukanwa na mitoto ya siku hizi isiyojua kushukuru hata Kwa dogo walilopata kabla ya Ku "demand "makubwa
Akilizako fupi sana,kwa mtu anaejua kufanya tathmini hakuna chakushukuru hapo.

Ufisadi, wizi, ukwepaji kodi na ujambazi wa kutisha wote umefanyika kipindi cha hao watu.
 
Pwani wanachofahamu ni kujichubua, maneno mengi, ushoga, ushirikina, husda na uvivu. Marais wa hovyo kabisa kwa taifa wametokea upande huo wakiongozwa na lile fisadi linalochekacheka
 
Naunga mkono hoja
P
pascal mayala naomba next content yako utuwekee post iliyoshiba kuhusu hili jambo, najua una mengi sana..

sometimes nikifikiria mbali naona hata huu muungano ilibidi tutoe sadaka kidogo ili ku stabilize democracy inaposhuka
 
Mtaongea sana awamu hii na mtamaliza maneno ila nitakuja kupongeza endapo katiba ya warioba itakuja kufanyiwa kazi kbla ya uchaguzi ujao
 
Back
Top Bottom