#COVID19 Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

#COVID19 Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Exe5un7WQAcgSm-.jpeg
Exe5unqXMAA_9mE.jpeg
Exe5unpWQAc-hnC.jpeg


Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia.

My Take
Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
 
Kazi ipo, Tanzania chini ya CCM kwa mara nyingine tena inatengwa katika mkakati maalum wa kuwekewa mbinyo.

Je huu ni muendelezo wa njama kubwa ya "mabeberu" kutumia nchi jirani kuongeza kuichagiza Tanzania ibadilike siyo tu ktk masuala ya kijamii (afya n.k) bali hata masuala ya kidemokrasia, kisiasa na uchumi.
www.bloomberg.com › articles › m...
Most Mutated Covid-19 Variant Yet Found in Tanzania Travelers ...
23 hours ago — Krisp, which discovered a new strain in South Africa last year that propelled a resurgence of infections in the country, found......

The world’s most mutated coronavirus variant has been found in travellers from Tanzania, according to a new analysis submitted to the WHO.​

Written by Bhavya Sukheja
Coronavirus
Ni mapema mno kujua ni njia ipi mkuu mpya wa nchi ya Tanzania, Mh. Rais Samia Suluhu Hassan atafuata katika masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na ki-Geopolitiki ( kikanda na kimataifa).


Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania
 
Yaani kuna vitu kama viliharibiwa kisaikolojia na yule mkubwa wako na watu wakaipokea ile athari kwa 100%, basi hata kama wewe huvikubali utalazimika tu kuumia moyo.

Shida nyingine haya mambo hayana kificho na ukifanya kificho kisha ukajulikana basi unakuwa adui namba moja kwa taifa.

Eenh mwenyezi acha kila mmoja awe huru na afya yake.
 
Hao manesi mbona wao wamevaa barakoa wakati na wao tayari wameshapata chanjo
 
UNA UHAKIKA HIZO BOMBA ZINA DAWA???
AU ni for showing puplic...

TANZANIA HATUTAKI.
Kataa wewe binafsi usiunganishe wa TZ wote.

Huko nje wanasema kwamba:

"The most mutated variant of the coronavirus yet was found in travelers from Tanzania, prompting scientists to call for greater monitoring in a country that has largely ignored the pandemic".
 
Wakiweza kujibu swal la kwann madaktari wanao choma chanjo wamevaa barakoa ilhali Kinga tayari wanayo pia kwanini pia Baada ya chanjo walio chanjwa hawaachi kuvaa barakoa?
 
Mi binafsi sitachanja, lkni kama nchi yetu ita-mandate hii chanjo then nitaikwepa kama kodi.. Mpaka Leo kuna strain mpya za Covid19 wanaziangalia kama zinakwepa kuuawa na antibodies zinazokua produced na hii chanjo, je kama zinakwepa tutadungwa chanjo nyingine?
 
Mbona polio ukichanjwa hupati tena, kwanini hii Covid19 unachanjwa na bado upo kwenye risk ya kupata
 
Acha hao scientists wamalize utafiti wao wake na kitu kamili.

Bado tunamalizia maombolezo ya msiba kwa sasa.
Mungu atuhepushe na janga hili, maana kwa mikusanyiko ile ya wiki nzima isiyokuwa na tahadhari yoyote tunaweza kuongeza maombolezo baada ya kumaliza maombolezo.
 
Back
Top Bottom