#COVID19 Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

#COVID19 Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

UNA UHAKIKA HIZO BOMBA ZINA DAWA???
AU ni for showing puplic...

TANZANIA HATUTAKI.
Mwenye kazi ya kuthibitisha kuwa ameibiwa kuku ni mlalamikaji wala si mwizi wa kuku.
Vivyo hivyo, wewe kama mlalamikaji, ni kazi yako sasa kuthibitisha kuwa hizo bomba hazijawekewa dawa.
 
Si mlisema Magu alichanjwa kisiri siri mmegeuka tena kusema hakuchanjwa
Kama uzi hauhitaji hoja, hiyo taarifa si ungepeleka moja kwa moja Lumumba kwa wajinga wenzako ambao hawakumshauri Rais aanze kuchanja yeye kwanza na Makamu afuate wote wangekuwa hai wanachapa kazi. Rais aliyopo hana namna ya kupata Chanjo haraka maana Mtangulizi wake alikataa na kuzuia mgawo wetu wa bure toka WHO badala yake kuwa agizo lake waganga wa kienyeji wajanja wakaiuzia Serikali mashine feki za kujifukiza ambazo hata yeye mwenyewe hazikumsaidia. Rais aende Muhimbili, Mloganzila Mtangulizi hakufanikiwa!
 
jia ya pili ni kuacha nature itake control. Acha virusi visambae hadi asilimia 70 ya watu wawe infected halafu badaye, watakaokufa wafe, watakaoishi watapata natural immunity
This is stupidity Sweden walijitia kujaribu hii, wamefyekwa kweli! Jiwe alisema kwanza wakifa hawataisha, Thank God kaondoka yeye. Serendepity ni mauaji ya Kimbari!
 
Utaona watu walivyo wanafiki; jafo, msukuma na mama wa wizara ya afya kama wataendelea kupromote nyungu!!

Nachoona wataunda kamati Maalum ya chanjo ili itoe taarifa kwa Rais kama chanjo ipo salama ama lah of cause hii ni kama justification tu ila watu lazima wachanjwe haraka iwezekanavyo kablanya hija
 
Kazi ipo, Tanzania chini ya CCM kwa mara nyingine tena inatengwa katika mkakati maalum wa kuwekewa mbinyo.

Je huu ni muendelezo wa njama kubwa ya "mabeberu" kutumia nchi jirani kuongeza kuichagiza Tanzania ibadilike siyo tu ktk masuala ya kijamii (afya n.k) bali hata masuala ya kidemokrasia, kisiasa na uchumi.

Ni mapema mno kujua ni njia ipi mkuu mpya wa nchi ya Tanzania, Mh. Rais Samia Suluhu Hassan atafuata katika masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na ki-Geopolitiki ( kikanda na kimataifa).

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania
Mbinyo wa Mataifa makubwa haukwepeki, nchi yetu ni ndogo sana (kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia) haiwezi kamwe kuwatunishia misuli haya mataifa makubwa.

Tena, fahamu kwamba, sasa hivi ulimwengu wote unaandaliwa kwa ajili ya kitu inaitwa, "New World Order or The Great Reset), na chanjo ya Covid-19 ni mwanzo tu wa NWO.

Sasa hivi, Marekani, EU, China na Mataifa mengine makubwa, wanajadiliana namna ya kuwa na "vaccine passport", itakayokuwa ikitumiwa kuonyesha kuwa mtu fulani amepata kinga ya Covid-19.

Sasa hebu jiulize, Serikali yetu itaweza vipi kujitenga, hasa hasa ukichukulia kwamba tunao diplomats karibia dunia nzima na bado tunategemea misaada.

Hili ni swala la muda, nina uhakika in few days to come Madame President SSH will give in and change the stance of his predecessor on Covid-19 na ataruhusu chanjo na atachanjwa pia.
 
UNA UHAKIKA HIZO BOMBA ZINA DAWA???
AU ni for showing puplic...

TANZANIA HATUTAKI.
Ulisikia kauli ya mwisho ya Mganga Mkuu wa Serikali? Unajitia Uzalendo wakati hata uwajibikaji wa kutafuta habari hauna. Huo ndio uzalendo uchwara
 
This is stupidity Sweden walijitia kujaribu hii, wamefyekwa kweli! Jiwe alisema kwanza wakifa hawataisha, Thank God kaondoka yeye. Serendepity ni mauaji ya Kimbari!
Wapi Ulaya ambako walifanya tofauti na Sweden hawakufyekwa?
 
Chanjo ya corona imepelekwa dunia kote ili wananchi wapate kuchanjwa kuepukana na ugonjwa wa corona ISIPOKUWA TU Tanzania. Jirani zetu kwa kuonyesha umuhimu wa chanjo hiyo Marais wa Uganda, Kenya wamepata chanjo hiyo hivyo ni wakati muafaka sasa Tanzania pia ikaiga nchi zingine duniani kuwaletea wananchi wake chanjo ya corona.
 
toa hii takataka apa
 
Watu hawafuati taratibu za kujikinga na corona na hadi leo bado wanamsifia Magufuli kwenye hili la Corona,sasa sijui kama muitikio wake utakuaje endapo zitaletwa hizo chanjo.
 
Back
Top Bottom