#COVID19 Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

UNA UHAKIKA HIZO BOMBA ZINA DAWA???
AU ni for showing puplic...

TANZANIA HATUTAKI.
Mwenye kazi ya kuthibitisha kuwa ameibiwa kuku ni mlalamikaji wala si mwizi wa kuku.
Vivyo hivyo, wewe kama mlalamikaji, ni kazi yako sasa kuthibitisha kuwa hizo bomba hazijawekewa dawa.
 
Si mlisema Magu alichanjwa kisiri siri mmegeuka tena kusema hakuchanjwa
 
jia ya pili ni kuacha nature itake control. Acha virusi visambae hadi asilimia 70 ya watu wawe infected halafu badaye, watakaokufa wafe, watakaoishi watapata natural immunity
This is stupidity Sweden walijitia kujaribu hii, wamefyekwa kweli! Jiwe alisema kwanza wakifa hawataisha, Thank God kaondoka yeye. Serendepity ni mauaji ya Kimbari!
 
Utaona watu walivyo wanafiki; jafo, msukuma na mama wa wizara ya afya kama wataendelea kupromote nyungu!!

Nachoona wataunda kamati Maalum ya chanjo ili itoe taarifa kwa Rais kama chanjo ipo salama ama lah of cause hii ni kama justification tu ila watu lazima wachanjwe haraka iwezekanavyo kablanya hija
 
Mbinyo wa Mataifa makubwa haukwepeki, nchi yetu ni ndogo sana (kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia) haiwezi kamwe kuwatunishia misuli haya mataifa makubwa.

Tena, fahamu kwamba, sasa hivi ulimwengu wote unaandaliwa kwa ajili ya kitu inaitwa, "New World Order or The Great Reset), na chanjo ya Covid-19 ni mwanzo tu wa NWO.

Sasa hivi, Marekani, EU, China na Mataifa mengine makubwa, wanajadiliana namna ya kuwa na "vaccine passport", itakayokuwa ikitumiwa kuonyesha kuwa mtu fulani amepata kinga ya Covid-19.

Sasa hebu jiulize, Serikali yetu itaweza vipi kujitenga, hasa hasa ukichukulia kwamba tunao diplomats karibia dunia nzima na bado tunategemea misaada.

Hili ni swala la muda, nina uhakika in few days to come Madame President SSH will give in and change the stance of his predecessor on Covid-19 na ataruhusu chanjo na atachanjwa pia.
 
UNA UHAKIKA HIZO BOMBA ZINA DAWA???
AU ni for showing puplic...

TANZANIA HATUTAKI.
Ulisikia kauli ya mwisho ya Mganga Mkuu wa Serikali? Unajitia Uzalendo wakati hata uwajibikaji wa kutafuta habari hauna. Huo ndio uzalendo uchwara
 
This is stupidity Sweden walijitia kujaribu hii, wamefyekwa kweli! Jiwe alisema kwanza wakifa hawataisha, Thank God kaondoka yeye. Serendepity ni mauaji ya Kimbari!
Wapi Ulaya ambako walifanya tofauti na Sweden hawakufyekwa?
 
Chanjo ya corona imepelekwa dunia kote ili wananchi wapate kuchanjwa kuepukana na ugonjwa wa corona ISIPOKUWA TU Tanzania. Jirani zetu kwa kuonyesha umuhimu wa chanjo hiyo Marais wa Uganda, Kenya wamepata chanjo hiyo hivyo ni wakati muafaka sasa Tanzania pia ikaiga nchi zingine duniani kuwaletea wananchi wake chanjo ya corona.
 

toa hii takataka apa
 
Watu hawafuati taratibu za kujikinga na corona na hadi leo bado wanamsifia Magufuli kwenye hili la Corona,sasa sijui kama muitikio wake utakuaje endapo zitaletwa hizo chanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…