Marais wa kiume picha zao ziko kwenye noti na kwenye sarafu, hebu tuwape wanawake sarafu moja ya Mama Samia, hii ni historia ya taifa

Haina haja ya hayo yoote alicho nacho sasa hivi kina mtosha
Hapana, BOT wadedicate memory moja matata sana, hata kama ni toleo maalum la fedha yenye picha ya SSH
 
Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama.

Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
Akili za ccm mnajijua wenyewe.
 
HUYO SURA YAKE IKIWEKWA KWENYE PESA NCHI ITAPATA MIKOSI .....kwani ujui kuwa ana NYOTA YA MAVI NA SIFA ZA NYOTA YA MAVIII NI KUTOKUBEBEKA.
Mkuu uhuru kumbuka unamipaka usimuoneshe kiongozi wako chuki za waziwazi kuwa nastaha
 
Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama.

Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
Hela sio albamu ya picha za watu, tuna weka picha ya mtu kutokana na mambo mazito aliyoyafanyia nchi, sasa huyu mama kafanya jambo gani la maana, we siunaona wakina benjamini franklin hajawai kuwa rais lakini yupo kwenye USD.
 
Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama.

Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
Naunga hoja na pia tuwe na noti yenye background ya ngorongoro crater au wale Simba wapanda miti kama wapo kwenye Royal Tour
 
Back
Top Bottom