Marais wanaopinduliwa Hususani Afrika hawauliwi bali wanawekwa kwanza Chini ya ulinzi maalum.. ushajiuliza kwanini?

Marais wanaopinduliwa Hususani Afrika hawauliwi bali wanawekwa kwanza Chini ya ulinzi maalum.. ushajiuliza kwanini?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Guine bissau is Loading...... Anyway kuna hii trend ya mapinduzi ya kijeshi barani afrika. Kama umenotice kitu, kwamba hao Marais hawauliwi kama ile wave ya coups za miaka ya 60 na 70.

Unajua kwanini hawafanyiwi hivyo? Ukiachana na shinikizo za kimataifa, ni kwamba hawauliwi kwa sababu moja tu. Wanashikiliwa kwanza wataje Siri zote muhimu za nchi na pia pesa zote waliko zificha pamoja na washirika wao wa karibu.... Lazima wateme infos zote muhimu at the 🔫 gun point.🤪🤪🤪
 
JW wanaona vile watanzania wanauawa,tekwa,genge la watu linavyoiba kila kitu Tanzania lakini wapo kimya tu.
Hovyo kabisa
Leo nimepita pale Abdala Twalipo nikakuta wanajeshi wanafanya usafi,wengi sana.

Nikasema Hawa jamaa sijui wanajisikiaje Kwa yaliyotokea hii nchi. Yaani raia wakiwaangalia wanajeshi wanawaona kama wagambo Fulani hivi maana wameshuka sana hadhi.

Mimi nimetokea kuwaonea huruma sana wanajeshi wa Tz baada ya yaliyotokea tarehe 29 October. Ni kama wapo uchi alafu aliyewanyang'anya nguo anawacheka na kuwakebehi.
 
Ni ujinga, mi nikiwepo wakati huo anawekwa chini ya ulinzi, asahau kabisa.

Namlipua tutajadili mengine baada ya hapo.

Unamuweka chini ya ulinzi ili iweje?
 
Leo nimepita pale Abdala Twalipo nikakuta wanajeshi wanafanya usafi,wengi sana.

Nikasema Hawa jamaa sijui wanajisikiaje Kwa yaliyotokea hii nchi. Yaani raia wakiwaangalia wanajeshi wanawaona kama wagambo Fulani hivi maana wameshuka sana hadhi.

Mimi nimetokea kuwaonea huruma sana wanajeshi wa Tz baada ya yaliyotokea tarehe 29 October. Ni kama wapi uchi alafu aliyewanyang'anya nguo anawacheka na kuwakebehi.
hao ni mgambo waliochangamka hamna kitu ,kazi kubeba mabegi ya waarabu
 
🚨 BREAKING: Bunge la Ulaya limepitisha AZIMIO kali sana dhidi ya serikali ya Tanzania (27 Nov 2025)

🔨Linakemea mauaji ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, makaburi ya HALAIKI na VIBURI vya jeshi lapolisi.

🔨Linamtaja moja kwa moja Tundu Lissu na kulaani kesi yake ya uhaini (Kesi ya MCHONGO).

🔨Linaitaja serikali kusitisha ukandamizaji na kumwachia Tundu Lissu MARA MOJA.

🔨Linadai uchunguzi wa kimataifa unahitajika.

🔨Linaagiza EU (Umoja wa ULAYA) kusitisha misaada ya moja kwa moja kwa serikali na kufikiria kuweka vikwazo dhidi ya serikali ya TANZANIA.

Hii si azimio la kawaida — ni pigo kubwa sana kwa serikali.

Kesho MAAZIMIO HAYA YANAPIGIWA KURA KUPITISHWA NA KUWA MSIMAMO RASMI WA UMOJA WA ULAYA.🙌🏿
 
Guine bissau is Loading...... Anyway kuna hii trend ya mapinduzi ya kijeshi barani afrika. Kama umenotice kitu, kwamba hao Marais hawauliwi kama ile wave ya coups za miaka ya 60 na 70.

Unajua kwanini hawafanyiwi hivyo? Ukiachana na shinikizo za kimataifa, ni kwamba hawauliwi kwa sababu moja tu. Wanashikiliwa kwanza wataje Siri zote muhimu za nchi na pia pesa zote waliko zificha pamoja na washirika wao wa karibu.... Lazima wateme infos zote muhimu at the 🔫 gun point.🤪🤪🤪
Kwa hiyo mama Samuya yupo makao makuu ya jeshi Dodoma aanatoa siri za akina Kikwete na Anjela Kiziga?
 
Back
Top Bottom