Marais wanaopinduliwa Hususani Afrika hawauliwi bali wanawekwa kwanza Chini ya ulinzi maalum.. ushajiuliza kwanini?

Marais wanaopinduliwa Hususani Afrika hawauliwi bali wanawekwa kwanza Chini ya ulinzi maalum.. ushajiuliza kwanini?

Lazima aseme Pesa zimefichwa wapi na account za siri zote lazima
Hakuna ulazima huo auwawe haraka iwezekanavyo, hata mabutu alizificha na hakutoa maelezo lakini zilipatikana zote.

Kama hajazificha Jupiter, tutazipata tu hii dunia hakuiumba yeye.

Yani mi nashauri watakaomfikia mapema wampe chuma cha kichwa, wamponde kama koboko, na watume ushahidi humu tutasherehekea kwa siku 90 mfululizo.
 
Guine bissau is Loading...... Anyway kuna hii trend ya mapinduzi ya kijeshi barani afrika. Kama umenotice kitu, kwamba hao Marais hawauliwi kama ile wave ya coups za miaka ya 60 na 70.

Unajua kwanini hawafanyiwi hivyo? Ukiachana na shinikizo za kimataifa, ni kwamba hawauliwi kwa sababu moja tu. Wanashikiliwa kwanza wataje Siri zote muhimu za nchi na pia pesa zote waliko zificha pamoja na washirika wao wa karibu.... Lazima wateme infos zote muhimu at the 🔫 gun point.🤪🤪🤪
Nimeipenda hii. Inabidi wateme bungo.
 
Leo nimepita pale Abdala Twalipo nikakuta wanajeshi wanafanya usafi,wengi sana.

Nikasema Hawa jamaa sijui wanajisikiaje Kwa yaliyotokea hii nchi. Yaani raia wakiwaangalia wanajeshi wanawaona kama wagambo Fulani hivi maana wameshuka sana hadhi.

Mimi nimetokea kuwaonea huruma sana wanajeshi wa Tz baada ya yaliyotokea tarehe 29 October. Ni kama wapo uchi alafu aliyewanyang'anya nguo anawacheka na kuwakebehi.
Mimi kila nikiwaona nanyoosha kidole cha kati in such way hatambui.

Najiulizaga kwa nn Kagame asingewarusha bongo kwa mto kagera? Next tim ntamuomba Kagame asifanye makosa kama aliyoyafanya ya kuwarudisha bongo wakiwa hai
 
Mimi kama mcheza karate mwenye black belt nathibitisha kuwa jeshi la linalojiita jw lote naweza kulipiga kutokana na uwezo mdogo waliouonesha kwenye maandamano.kamandi zake zote nazichakaza Mimi peke yangu
 
Ni wanufaika wa mfumo, kabla ya uchaguzi walifanya procurement kubwa sana ambazo zina maslahi kwao binafsi
CDF Mkunda amenunuliwa na wahuni!! Amehongwa fedha nyingi sana kwa kusaliti Damu ya WATANGANYIKA!
 
Mimi kama mcheza karate mwenye black belt nathibitisha kuwa jeshi la linalojiita jw lote naweza kulipiga kutokana na uwezo mdogo waliouonesha kwenye maandamano.kamandi zake zote nazichakaza Mimi peke yangu
Pale mtu anapoyafuata matatizo kwa illusion za movie za kina komando kipensi
 
Sio kwa huu uozo wa wavunja matofali tulionao.

Yakipewa visenti kidogo wanaweza teketeza hata familia zao kwa maslahi ya watawala.
 
Kuna dhana pia kuwa hizo coup ni planned na kiini macho. Hao watawala hupanga na jeshi kupindua ili kupunguza nguvu ya upinzani
 
Back
Top Bottom