Leo nimepita pale Abdala Twalipo nikakuta wanajeshi wanafanya usafi,wengi sana.JW wanaona vile watanzania wanauawa,tekwa,genge la watu linavyoiba kila kitu Tanzania lakini wapo kimya tu.
Hovyo kabisa
Ni wanufaika wa mfumo, kabla ya uchaguzi walifanya procurement kubwa sana ambazo zina maslahi kwao binafsiJW wanaona vile watanzania wanauawa, tekwa, genge la watu linavyoiba kila kitu Tanzania lakini wapo kimya tu.
Hovyo kabisa
hao ni mgambo waliochangamka hamna kitu ,kazi kubeba mabegi ya waarabuLeo nimepita pale Abdala Twalipo nikakuta wanajeshi wanafanya usafi,wengi sana.
Nikasema Hawa jamaa sijui wanajisikiaje Kwa yaliyotokea hii nchi. Yaani raia wakiwaangalia wanajeshi wanawaona kama wagambo Fulani hivi maana wameshuka sana hadhi.
Mimi nimetokea kuwaonea huruma sana wanajeshi wa Tz baada ya yaliyotokea tarehe 29 October. Ni kama wapi uchi alafu aliyewanyang'anya nguo anawacheka na kuwakebehi.
Hao wanufaika ni wa juu tu sio huku chiniNi wanufaika wa mfumo, kabla ya uchaguzi walifanya procurement kubwa sana ambazo zina maslahi kwao binafsi
Nasikia la kwetu limewekewa ugumu wa kutake action tangu enzi za MwalimuJW na hasa Mkunda ataenda na aibu milele.....Shame upon him.
******* tu zaidi ya uchawa wa wakubwa zao hakuna kingineNasikia la kwetu limewekewa ugumu wa kutake action tangu enzi za Mwalimu
Kwa hiyo mama Samuya yupo makao makuu ya jeshi Dodoma aanatoa siri za akina Kikwete na Anjela Kiziga?Guine bissau is Loading...... Anyway kuna hii trend ya mapinduzi ya kijeshi barani afrika. Kama umenotice kitu, kwamba hao Marais hawauliwi kama ile wave ya coups za miaka ya 60 na 70.
Unajua kwanini hawafanyiwi hivyo? Ukiachana na shinikizo za kimataifa, ni kwamba hawauliwi kwa sababu moja tu. Wanashikiliwa kwanza wataje Siri zote muhimu za nchi na pia pesa zote waliko zificha pamoja na washirika wao wa karibu.... Lazima wateme infos zote muhimu at the 🔫 gun point.🤪🤪🤪
Mkuu unataka kusemaje?. Kwamba huo ugumu wa wao kupindua meza haupo?. Wanasingiziwa?******* tu zaidi ya uchawa wa wakubwa zao hakuna kingine