Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

Kwanini kaanza na Mwinyi badala ya Familia ya Mwl?
 

Attachments

  • IMG_20200921_190239.jpg
    25.6 KB · Views: 1

Huu ni uporaji. Wawe na hakika watatakiwa kujibu haya siku wakifa.

Namhurumia mkapa.
 
Wawe wana tukumbuka na sisi walala hoi wasijipendelee wenyewe kwa wenyewe sisi pia ni raia wa Tz tunafaa pia kula mema ya nchi japo watuajili tuanze kulipa madeni ya familia zetu zilizokopa kwa ndugu zao ili tusomeshwe
 

Mungu anawaona; watapata akili wakati wameshachelewa.
 
ukitafakari ni kwa nini Nyerere aligoma kujengewa Nyumba na jeshi utajua kiundani alikuwa ni mtu wa aina gani !!..
Nyerere alijua kuwa yeye kuwa pale alipo anatakiwa kuwa representation ya watu wake ambao wengi hawawezi hata kumudu hata milo mitatu kwa siku. Hii ni kikauli na kimatendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…