Huko aliko anajuta sana, lakini ndio keshachelewa.
Kukicha wapo makanisani na misikitini lakini wamejaa ushetani.
..Obama alipostaafu alitafuta nyumba mwenyewe.
..serikali ya marekani haimjengei nyumba.
..hata Library yake ni private donors wanachangia.
..mimi nilidhani hawa wazee tayari wana nyumba za serikali.
..kwa mfano, nyumba anayokaa JK sasa hivi sio ya serikali?
..isije ikawa tayari walishapewa nyumba, halafu wanajengewa nyumba nyingine tena.