Inatia hasira sana. Kungekuwa na uwezekano wa kuanzisha taifa la familia moja, mimi na familia yangu tungejitenga rasmi na kuwa taifa huru!01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
View attachment 3496432
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa uchaguzi
View attachment 3496433
- A
- B
- C
- N.k
Seriously, it's noteworthy to have that list of leaders congratulating her for successfully stealing an election.01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
View attachment 3496432
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa uchaguzi
View attachment 3496433
- A
- B
- C
- N.k
kwamba kwa familia yako hakuna maudhi na mambo ya hovyo, japo umenifurahishaInatia hasira sana. Kungekuwa na uwezekano wa kuanzisha taifa la familia moja, mimi na familia yangu tungejitenga rasmi na kuwa taifa huru!
Rais Évariste Ndayishimiye alisisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana katika miundombinu na miradi ya maendeleo ya mipakani.“Mpendwa Dada, Mheshimiwa Samia Suluhu, kwa niaba ya wananchi wa Burundi na kwa niaba yangu binafsi, natoa pongezi za dhati kwa kuchaguliwa tena, nakutakia mafanikio na fanaka katika muhula wako wa pili wa Rais wa Tanzania.
Akipongeza wanainch wake wataleta shida sana02 November 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=GW29-nIOkoQ
Mheshimiwa William S. Ruto rais wa Jamhuri ya Kenya tofauti na utamaduni wa kupongezana haraka lakini hadi sasa bado hajasema chochote ...
Hizo nchi zilizompa pongezi zenyewe ni choka ile mbaya.01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
View attachment 3496432
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa uchaguzi
View attachment 3496433
- Somalia
- Burundi
- Zambia
- Mozambique