YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Marais wengi wa Afrika wajinga Corona imevamia nchi zao ambayo haina dawa badala ya kutafuta dawa wako tu wana lovkdown watu wao wakati dawa hawana. Wanakodoa tu mimacho kwa wanasayansi Wazungu wagundue dawa!!!!
Rais Magufuli akaona asisubiri wazungu yeye kama Rais anatakiwa atafute ufumbuzi sababu aliona tukiendelea kusubiri Wazungu wagundue tutakufa kama kuku akaja na solution ya kumwomba Mungu na kujifukizia na Taifa limenusurika
Mataifa mengi Afrika wamekosea kwanza kwa Kum lockdown Mungu watu wasiende kusali nyumba za ibada na pili kutotafuta local treatment wakikodolea tu eti wazungu Wagundue dawa!! Rais Magufuli kaliponya Taifa lisiangamie anastahili kupewa awamu ya pili ya Uraisi
Viongozi wa Afrika waige Rais Magufuli kunapotokea majanga makubwa la kwanza waombe Mungu na wasi lockdowm la pili watafute local solution kwa spidi ya haraka