Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Nasikiliza BBC, Wanasema Ruto Ndio Rais Wa Kwanza Kutoka Afrika Kufanya Ziara Rasmi ya Kiserikali Nchini Marekani Kwa Takribani Miaka 15, Nimebaki Najiuliza Hawa Marais Wa Afrika Wanaoenda Marekani Kila Siku Wanaenda Kufanya Nini? Kupumzika? Kutembea? Au Kushangaa? Window shopping?
Marekani inatumia state visit kama chocolate wakitakakitu kutoka kwako. Wanajua thamani ya Rose garden joint news conference, a picture in the oval, a state dinner with the POTUS. Lakini sio mbaya Kikwete alimpa Obama state visit hapa Tanzania.
Kuna viongozi wamepigwa Ban kwenda USA kutoka Afrika, naskia Uganda na Congo.