Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu.
Je, Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae?
Kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani, na kama hakuna pia tujilishane.
Ahsante