mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
1. wakati unatoa hiyo mitihani, wewe umejiadaa vipi kama na yeye akitoa mitihani yake? waza mbali.
2. hiyo mitihani haikupi uhakika wa 100%, inakuridhisha tu.
mfano umempima kwa kigezo cha kukosa kazi muda wa miezi 2(labda umechukua likizo ukamdanganya), sawa anaweza akakuvumilia, ukajiridhisha.
lakini unajuaje kama atakuvumilia ukikosa kazi miaka 2?