Marajibio au mitego ya kumpa mwanamke kabla ya kufikia maamuzi ya kumuoa

Watu wanabadilika, ( kwenye ndoa ingia na hiyo attitude). Ndio maana kuna kuvumiliana. Anaweza akawa mzuri sana before ndoa akaja kuchachuka uzeeni au baada ya kuzaa.. mambo tafrani sana.. na anaweza akawa anaonekana wa hovyoo . Akisha ingia kwenye ndoa akawa mzuri sana kuliko kablaa.. mambo haya hayasomeki sarakasi tuu
Hili nalo mkalitazame
 
Karne Dadakidoti Lamomy Melancholic Poor Brain Mzee wa kupambania Extrovert realMamy

Kwangu mm, moja ya mitego yangu ambayo ipo simpo sana na nimeigundua hivi karibuni, nikiona mdada mzuri, nina mpango wa kumtongoza na kufanya nae mahusiano ya mda mrefu, tukifahamiana ile kidogo, mimi nitamuomba kitu kidogo sana na nakua nahakikisha kua hela anayo, kikawaida kabisa mm nitakua wa kwanza kumuomba aninunulie kitu kidogo tu k.v biskuti ya tsh 500, andazi moja, soda, maji ya tsh 500 halafu naangalia reaction yake na maneno yake, reaction yake ndo itanipa mwanga kua yeye ni mwanamke wa aina gani, atakua ni mke wa aina gani kwa ndugu, na ananichukuliaje.

Kwa wanaume mnaweza ona huo ni mtego mdogo/simple, ila ewe mwanaume, wanawake wengi sana walio kwenye circle yako ambao sio nduguzo, ukiwapa huo mtego watafeli, logic ya huo mtego nimeitoa kwa Mungu alivomuomba Abraham ampe sadaka ya mwanae, kumpima Abraham

NB: mtego wangu hauna maana ya mm kua marioo, au kumfanyia mdada ndo aje kunihudumia kipesa, ni psychological move tu ambayo nai-employ kwa hawa parasitic females ambao kwa sasa ndo wako wengi kwenye dating market
Na wewe ukiomba pesa ndogo usilalamike atakuwa naye anakutega km unaweza kumtunza.!!
 
Mtego wako mzuri ila sasa usigeneralise kuwa mambo yote yatakuwa sawa et kisa akiutegua mtego wako huu. Nafikiri unapaswa kuendq zaidi ya hapo.
 
Mpe hela nyingi mwambie ni zawadi yako akipokea sio mtu sahihi,pitia na Naye mitaani uwe unaona vitu anavyotolea macho,,
Mpelekee sehemu za Bata Kama ni mme ama mke atakuuliza mbona unaharibu hela , yaani try to spend OVYO OVYO hela yako ukiona ana uchungu na hale yako basi ujue umepata mtu sahihi.
Asijaribu hii atakufa papo kwa papo..
 
Niliwahi nunua kondomu pakiti moja (si huwa zinakuwa 3), sasa mimi nikatupa zile mbili nakuacha moja, lengo nione riakisheni yake ilivyo, je ndiyo wale wa kudhanidhani kuwa mme siyo mwaminifu pasipo hata kujiridhisha kisa labda kaona meseji kutoka kwa mwanamke n.k

Alipokutana na kondomu moja badala ya tatu....
Itaendelea....
 
Mpe hela nyingi mwambie ni zawadi yako akipokea sio mtu sahihi,pitia na Naye mitaani uwe unaona vitu anavyotolea macho,,
Mpelekee sehemu za Bata Kama ni mme ama mke atakuuliza mbona unaharibu hela , yaani try to spend OVYO OVYO hela yako ukiona ana uchungu na hale yako basi ujue umepata mtu sahihi.
ww unaongea tu haiwezi kuwa rahisi namna hiyo kama ambavyo ww umemtega basi jua hata ye ye pia anakutega umuone wife material utanasa tu tena kwa hizo ndoa zenu za kanisani basi majanga matupu
 
Karne Dadakidoti Lamomy Melancholic Poor Brain Mzee wa kupambania Extrovert realMamy

Kwangu mm, moja ya mitego yangu ambayo ipo simpo sana na nimeigundua hivi karibuni, nikiona mdada mzuri, nina mpango wa kumtongoza na kufanya nae mahusiano ya mda mrefu, tukifahamiana ile kidogo, mimi nitamuomba kitu kidogo sana na nakua nahakikisha kua hela anayo, kikawaida kabisa mm nitakua wa kwanza kumuomba aninunulie kitu kidogo tu k.v biskuti ya tsh 500, andazi moja, soda, maji ya tsh 500 halafu naangalia reaction yake na maneno yake, reaction yake ndo itanipa mwanga kua yeye ni mwanamke wa aina gani, atakua ni mke wa aina gani kwa ndugu, na ananichukuliaje.

Kwa wanaume mnaweza ona huo ni mtego mdogo/simple, ila ewe mwanaume, wanawake wengi sana walio kwenye circle yako ambao sio nduguzo, ukiwapa huo mtego watafeli, logic ya huo mtego nimeitoa kwa Mungu alivomuomba Abraham ampe sadaka ya mwanae, kumpima Abraham

NB: mtego wangu hauna maana ya mm kua marioo, au kumfanyia mdada ndo aje kunihudumia kipesa, ni psychological move tu ambayo nai-employ kwa hawa parasitic females ambao kwa sasa ndo wako wengi kwenye dating market
Hili nalibeba kama lilivyo mkuu
 
ww unaongea tu haiwezi kuwa rahisi namna hiyo kama ambavyo ww umemtega basi jua hata ye ye pia anakutega umuone wife material utanasa tu tena kwa hizo ndoa zenu za kanisani basi majanga matupu
Mkuu mie ndoa yangu ni ya kiafrika Wala sijafuata tamaduni ambazo zimekuja na upepo wa mashua hata siku moja. Babu baba na mie mjukuu waa babu tumeoa kwa aina moja ya culture tumezaliwa na nimezaa na ninaheshimu mno kacha yangu
 
Back
Top Bottom