Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Nafikiri mtego mzuri ni kumuuliza kati ya Mbowe na Lissu nani aongoze chadema. Akisema lissu, chukua huyo, hiyo ni mali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sio muoajiWakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine... nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. je? Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae.... kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani...na kama hakuna pia tujilishane..Ahsante
Mungu kawapa ufaham wa ndan sana ambayo hujui, ukiwa unampima anajua yy ana switch side ukiwa humpimi pia anajua , ww cha msingi ondoa hofu mpe pesa wala usijaji kuwa mr don't care yy mwenyewe utaona anakwambia ...Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine... nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. je? Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae.... kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani...na kama hakuna pia tujilishane..Ahsante
Kama Kuna wafanyabiashara na wasomi ina Mana huo ukoo hauna shidaaKabla ya yote chunguza familia yao je wana magonjwa ya kurithi au mambo ya kichawi ndo uendelee na mchakato
Umeongea la maaanaKabla ya yote chunguza familia yao je wana magonjwa ya kurithi au mambo ya kichawi ndo uendelee na mchakato
Watu wanabadilika, ( kwenye ndoa ingia na hiyo attitude). Ndio maana kuna kuvumiliana. Anaweza akawa mzuri sana before ndoa akaja kuchachuka uzeeni au baada ya kuzaa.. mambo tafrani sana.. na anaweza akawa anaonekana wa hovyoo . Akisha ingia kwenye ndoa akawa mzuri sana kuliko kablaa.. mambo haya hayasomeki sarakasi tuu
Mtihani wa mwanamke muachie kadi ya benki na PIN number, mwambie badala ya kukuomba hela atumie yeye anavyotaka.Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine... nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. je? Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae.... kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani...na kama hakuna pia tujilishane..Ahsante
Asante mkuu Miss_MariaahUmeongea la maaana
Mkuu usidanganyike na usomi,kuna watu ni wasomi ila wana mambo mazitoKama Kuna wafanyabiashara na wasomi ina Mana huo ukoo hauna shidaa
Asante mkuu Poor BrainMkuu endelea kutoa madini
Natania tu 😆Utaharibu. Kuna vitu vya kutest ila si mahusiano.
Acheni utoto utoto banaWakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu.
Je, Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae?
Kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani, na kama hakuna pia tujilishane.
Ahsante
Hapo kwenye kuiba umekosea je akikuacha kwa sababu ni mwizi atakuwa kakosea? Au ni wezi gani mnaowachukia? Mwizi ni mwizi tu haijalishi ni kazini au wapi, pili uongo, mwanamme kamili haongopi Ili kumhakiki Mwanamke Bali anakuwa mkweli tu na hapo atamjua Mwanamke huyo anafaa au hafai, mfano kusema ukweli kuwa kwenu Kuna ugonjwa flani wa kurithi, lkn Hili wanaume wengi hawaweki bayana madhaifu Yao. Mnapowapima wanawake na wao pia huwapima wanaume.Mie niliwaambia nime disco chuo kikuu walikuwa wanachi wenzangu.
Fanya kutuma hela umekosea like ,2-5 laki kutumia namba ya mtu then huyo mtu abembeleze anaombwa arudishiwe amekosea, mtu mmoja ajifanye ana shida amlilie amsaidie kitu ,hapa ni Kama unapima utu wake,.
Kama unayo kazi chukua likizo mwambie umefukuzwa kazi, na ikiwekezekana umefungwa kuwa umeibia kampuni fake deal uone response yake, muangalie Kama anakomaa kusalimia mama yako and ndugu wengine,yaani kwa kiufupi Yule mtu anajisikia kuwa bonded kwenu kabisa Tena electrovalent bond na sio covalent bond
Mpe uhuru umjali afu usimuoneshe uko na wivu nae.Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu.
Je, Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae?
Kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani, na kama hakuna pia tujilishane.
Ahsante