Mtego mzuri ni Pesa tu, Mjali sana, Mpende sana.Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine... nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. je? Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae.... kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani...na kama hakuna pia tujilishane..Ahsante
Pesa inaweza kutumika kama kipimo kuangalia nidhamu yako kwenye fedha unayopewa.Mke lazima awe na nidhamu ya fedha.Ndio maana jamaa amesema mpe fedha then angalia nidhamu yake ya matumizi kama anafanya matumizi ya maana au ya kipuuzi.Mtego mzuri ni Pesa tu, Mjali sana, Mpende sana.
Hiyo mitego yenu ya kujifanya hamtaki kuhudumia hutapata mtu labda pretender.
Hutokujà kuoa ukimtega mwanamke, mwambie rafiki yako amhonge 1m tu aiàmgegede kwa siri. Hakunà wa kukwepa.Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine... nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. je? Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae.... kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani...na kama hakuna pia tujilishane..Ahsante
Usioe kwanza ndoa itakushinda.Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine... nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. je? Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae.... kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani...na kama hakuna pia tujilishane..Ahsante
Hii sio test sasa khaaa 😄😄😄Mpe hela nyingi mwambie ni zawadi yako akipokea sio mtu sahihi,pitia na Naye mitaani uwe unaona vitu anavyotolea macho,,
Mpelekee sehemu za Bata Kama ni mme ama mke atakuuliza mbona unaharibu hela , yaani try to spend OVYO OVYO hela yako ukiona ana uchungu na hale yako basi ujue umepata mtu sahihi.
Hakuna mahusiano ya milele au ya kudumu hasa ukifunga ndoa!Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine... nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu. je? Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae.... kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani...na kama hakuna pia tujilishane..Ahsante
Daaah oaa wee milion moja nyingi mkuu acha tuuuHutokujà kuoa ukimtega mwanamke, mwambie rafiki yako amhonge 1m tu aiàmgegede kwa siri. Hakunà wa kukwepa.
Mkuu endelea kutoa madiniKabla ya yote chunguza familia yao je wana magonjwa ya kurithi au mambo ya kichawi ndo uendelee na mchakato