Marajibio au mitego ya kumpa mwanamke kabla ya kufikia maamuzi ya kumuoa

Kwanza kama ni single maza futa hilo neno kuoa hapo mbele maana huyo ni mke wa mtu aliyetelekezwa!
 
We sio muoaji
 
Mungu kawapa ufaham wa ndan sana ambayo hujui, ukiwa unampima anajua yy ana switch side ukiwa humpimi pia anajua , ww cha msingi ondoa hofu mpe pesa wala usijaji kuwa mr don't care yy mwenyewe utaona anakwambia ...
 
FACTSSS
 
Mtihani wa mwanamke muachie kadi ya benki na PIN number, mwambie badala ya kukuomba hela atumie yeye anavyotaka.

Halafu kaa chini angalia moto wake.
 
Acheni utoto utoto bana
 
Hapo kwenye kuiba umekosea je akikuacha kwa sababu ni mwizi atakuwa kakosea? Au ni wezi gani mnaowachukia? Mwizi ni mwizi tu haijalishi ni kazini au wapi, pili uongo, mwanamme kamili haongopi Ili kumhakiki Mwanamke Bali anakuwa mkweli tu na hapo atamjua Mwanamke huyo anafaa au hafai, mfano kusema ukweli kuwa kwenu Kuna ugonjwa flani wa kurithi, lkn Hili wanaume wengi hawaweki bayana madhaifu Yao. Mnapowapima wanawake na wao pia huwapima wanaume.
 
Mpe uhuru umjali afu usimuoneshe uko na wivu nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…