mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Nakazia usije kuoa au kuolewa familia ya washirikina utajutaKabla ya yote chunguza familia yao je wana magonjwa ya kurithi au mambo ya kichawi ndo uendelee na mchakato
Karne Dadakidoti Lamomy Melancholic Poor Brain Mzee wa kupambania Extrovert realMamyMtego mzuri ni Pesa tu, Mjali sana, Mpende sana.
Hiyo mitego yenu ya kujifanya hamtaki kuhudumia hutapata mtu labda pretender.
Mambo mazito mazuri Sasa Kuna wengine ukijenga kabati tu wanakuuaMkuu usidanganyike na usomi,kuna watu ni wasomi ila wana mambo mazito
Hahahahaha hii mtego utakosa mke,Mpe hela nyingi mwambie ni zawadi yako akipokea sio mtu sahihi,pitia na Naye mitaani uwe unaona vitu anavyotolea macho,,
Mpelekee sehemu za Bata Kama ni mme ama mke atakuuliza mbona unaharibu hela , yaani try to spend OVYO OVYO hela yako ukiona ana uchungu na hale yako basi ujue umepata mtu sahihi.
Sio mtego wa kumpata, tunazungumzia mtego wakujua mtu sahihi,Mtego mzuri ni Pesa tu, Mjali sana, Mpende sana.
Hiyo mitego yenu ya kujifanya hamtaki kuhudumia hutapata mtu labda pretender.
Ukipenda mtu mjali tu vizuri, akiwa anahangaika hangaika sio sahihi. Wadada wengi tunapenda kusikilizwa na kupendwa vizuri.Sio mtego wa kumpata, tunazungumzia mtego wakujua mtu sahihi,
Umjali kawa mkeo???, wabongo mna mindset za ajabu Sana.Ukipenda mtu mjali tu vizuri, akiwa anahangaika hangaika sio sahihi. Wadada wengi tunapenda kusikilizwa na kupendwa vizuri.
Lakini sikubaliani na mtu anayenitega kwa kuniambia sijui sina kitu, nimefukuzwa kazi sijui nini ukiniambia hivo mimi nifanyeje sasa.
Kuna wenye hela wanajali sana Bro. Halafu shida ni ile ya kujihami mnahofia sana kuombwa Pesa ila nyie mpewe Chakula chenu π π π π . Endeleeni kujuana vizuri huku akipewa vocha na nauli na mwingine.Umjali kawa mkeo???, wabongo mna mindset za ajabu Sana.
Uhusiano ni kujuana zaidi, na una ngazi zake.
Sasa nyie phase 1 tu mna kuja na mzigo wa matatizo, as if ali tangaza yeye ni service provider π π .
kila mtu ana matatizo, but mkubwa nguzo Moja mna weza solve vizuri.
shida msha kariri kila mmoja yuko interested na body zenu, apart from sex una kipi kingine Cha ku offer??Kuna wenye hela wanajali sana Bro. Halafu shida ni ile ya kujihami mnahofia sana kuombwa Pesa ila nyie mpewe Chakula chenu π π π π . Endeleeni kujuana vizuri huku akipewa vocha na nauli na mwingine.
We endeleza stori kama kuna shughuli ya kitaifa π
Mpe namba jamaa mwenye maisha mazuri amtongoze ampe gari la maana akawape wazazi wake au uyo jamaa atake kuwajengea wazazi wake akikubali kumpa tendo.Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu.
Je, Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego (test) umpitishe ili ujiridhishe nae?
Kama upo tupe mfano uliotumia au nikitaka kutego nitumie mbinu gani, na kama hakuna pia tujilishane.
Ahsante
Mbona haya mateso sasa πππ, kama hujaridhika nae muache tuMie niliwaambia nime disco chuo kikuu walikuwa wanachi wenzangu.
Fanya kutuma hela umekosea like ,2-5 laki kutumia namba ya mtu then huyo mtu abembeleze anaombwa arudishiwe amekosea, mtu mmoja ajifanye ana shida amlilie amsaidie kitu ,hapa ni Kama unapima utu wake,.
Kama unayo kazi chukua likizo mwambie umefukuzwa kazi, na ikiwekezekana umefungwa kuwa umeibia kampuni fake deal uone response yake, muangalie Kama anakomaa kusalimia mama yako and ndugu wengine,yaani kwa kiufupi Yule mtu anajisikia kuwa bonded kwenu kabisa Tena electrovalent bond na sio covalent bond
Sikuhizi wanajua kuigiza balaaa πππ, Hakuna formulaMpe hela nyingi mwambie ni zawadi yako akipokea sio mtu sahihi,pitia na Naye mitaani uwe unaona vitu anavyotolea macho,,
Mpelekee sehemu za Bata Kama ni mme ama mke atakuuliza mbona unaharibu hela , yaani try to spend OVYO OVYO hela yako ukiona ana uchungu na hale yako basi ujue umepata mtu sahihi.
Mkuu kwa wale ambao hawana kichwani cha biashara manake wasiolewe?Mwanamke yeyote anaeweza kufanya hata biashara yenye mtaji mdogo na akapata faida na biashara ikadumu hata kwa mwaka mzima huyo ndo wakuoa
Hili naliunga mkono japokuwa kwa mbali kidogo, uchawi upo kila sehemuKabla ya yote chunguza familia yao je wana magonjwa ya kurithi au mambo ya kichawi ndo uendelee na mchakato
Ushauri huu auzingatie utamsaidia SanaUsioe kwanza ndoa itakushinda.