Sahihi kabisaHii inadhihirisha kwamba hapa TZ mmiliki wa biashara akifa, uwezekano ni mkubwa baishara aliyoacha nayo itakufa kwa usimamizi mbovu
Kwani kupanda ndege ndo kua na pesa?Wewe unazo pesa za kupanda ndege unadhani kila mtu anao uwezo huo, kwako pesa si tatizo.
Kifo cha huyu jamaa kiliniumiza sana, tena alienda kumcheki dereva wake hosp Aliekuwa anaumwa Covid-19 nae akatoka na kitu huko.Yule wa kiume mpenda bata sana. Aligonga range la baba yake. Alitaka kurithi vingi zaidi kwakua ni wa kiume. Ni kama ana ule mfumo dume wa kikoloni wa enzi hizo uchaggani
Najua unalipia ashua zako tu hauhitaji pesa.Kwani kupanda ndege ndo kua na pesa?
Mke kumbe nae alikuja fariki daaahYes. Mke na mume wote
Mwenye maono nayo alifariki.Marangu nayo inaelekea kuumaliza mwendo, inachechemea sijui shida n nn
Huo ni upimbi na kutojali abiria.Kuna siku nlikua natoka arusha to dom na shabiby, basi likapata tatzo kabla hata ya kufika makuyuni, spea ilitoka dodoma tulingoja zaidi ya 5 hrs. Nadhan wanakuwa na spea zao pia ndio maana ya kusubiria badala ya kununua karibu na eneo ilipotokea changamoto.