Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
LIVE UPDATES Tshs. 280.000,000/=.

Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.

Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.

Lakini lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.

Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.

Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.
 
Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.

Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.

Lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.

Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.

Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.

View attachment 3627739
kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
 
Hapo bajeti iko hivi;

Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m

Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
 
We jamaa uko na ufala sana hata ivyo ela yako baki nayo hatuitaki kabisa
 
Hapo bajeti iko hivi;

Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m

Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Chadema haihitaji hela za watu wanonuka damu ya watanzania. Baki na hizo posho zako za Lumumba.
 
Back
Top Bottom