- Thread starter
- #21
Ni kweli lkn logic umeielewa?kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
Ni kweli lkn logic umeielewa?kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
kwa mTanzania moja tu mzalendo mwenye moyo na mapenzi ya dhati kwa nchi na uaminifu kwa taifa na waTanzania wote 🐒Kutoka kwa nani?
Kila chama kinajinasibisha kuwa ni chama cha wananchi. Ngoja tuone mwisho wake.Kila la kheri kwa wachangiaji
Ila naamini kila chama kina mifumo na taratibu zake
Uwezo wako wa kufikiri upoje. Kwa nini unadhani kuichangia CCM ni mapenzi na uaminifu kwa Taifa?kwa mTanzania moja tu mzalendo mwenye moyo na mapenzi ya dhati kwa nchi na uaminifu kwa taifa na waTanzania wote 🐒
Mie nipo tu naangalia mambo mbasharaKila chama kinajinasibisha kuwa ni chama cha wananchi. Ngoja tuone mwisho wake.
5 minutes ni nyingi. Just one call inapata ila itakavyorudishwa ndio sijuikiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
Hakuna chama cha wananchi kwa sababu wanasiasa wanaoingia ulingoni kwa ajili ya maslahi ya umma ni wachache sana. Ila wengi kwa political interest wanahama vyama na wakifika bei, wanaanza kuponda hata vyama walivyotoka.Kila chama kinajinasibisha kuwa ni chama cha wananchi. Ngoja tuone mwisho wake.
Chadema haitaki hela ya mtu anayetoa huku analalamika ni nuksi.Hapo bajeti iko hivi;
Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m
Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Mwanadamu yeyote haaminiki.Hakuna chama cha wananchi kwa sababu wanasiasa wanaoingia ulingoni kwa ajili ya maslahi ya umma ni wachache sana. Ila wengi kwa political interest wanahama vyama na wakifika bei, wanaanza kuponda hata vyama walivyotoka.
Wanasiasa hawaaminiki
Ataruhusiwa kuingiza mabasi mia bila ushuru bandarini.5 minutes ni nyingi. Just one call inapata ila itakavyorudishwa ndio sijui
Dalili zote za mchawi na chizi unazo.Hapo bajeti iko hivi;
Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m
Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
irudishwe wapi tena gentleman? 🤣5 minutes ni nyingi. Just one call inapata ila itakavyorudishwa ndio sijui
just relax gentleman,Uwezo wako wa kufikiri upoje. Kwa nini unadhani kuichangia CCM ni mapenzi na uaminifu kwa Taifa?
😆😆😆😆Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.
Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.
Lakini lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.
Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.
Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.
View attachment 3627739
Mungu akuzidishieKesho napokea posho natoa hili fungu la 10. Siku zote huwa nipo upande unaoonewa
Kuelewesha wendawazimu kazi anatoaje pesa kwenye bank account wakati sio signatory kuna mwingine zuzu eti kapewa dola 200,000/- anapita nazo vp airport hizo pesa ?Wana CCM wanaoichangia CHADEMA wanataka nini kwa kuichangia CHADEMA?
Kwa ivo Heche ni signatory wa kutoa fedha kwenye akaunti za CHADEMA?