Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
Ni kwasababu WACHANGIAJI wengi ni WEZI, MAFISADI, WAAUZA MADAWA YA KULEVYA,WAKWEPA KODI, NA AMBAO MIKONO YAO IMECHAFUKA DAMU YA OCTOBER 29!kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
CHADEMA inapata mchango Toka an innocent peole wenye uwezo wa kiuchumi wa kawaida!!
Kwenu WEZI MAFISADI na wengine wote wanochangia Huwa wanajikomba kwa serikali waendelee kukwepa kodi!!
Pole Gentleman, naona ulifeli SOMO LA LOGIC 🤣🤣🤣 ,hiyo ndo sababu ndugu yangu!!! Veep mnaendeleaje hapo LUMUMBA?? hasa baada ya mlima tumbaku na maharage kusema watu wapiganie Kile Bi Msumi anachoita KIJITABU??😄😄😄😄