Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

Timu mbowe hawataki watu wachangie wakiongozwa na yeriko ili andiko lao litimie kuwa lissu hana hela za kuitisha mkutano wa baraza kuu
 
kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
mlimani city siku ile wachimbaji wa madini tu walitoa BILIONI 1 MOJA kama sita GSM B5 na ile wangeitisha mikoani wangekusanya trilioni 1 chap
 
mlimani city siku ile wachimbaji wa madini tu walitoa BILIONI 1 MOJA kama sita GSM B5 na ile wangeitisha mikoani wangekusanya trilioni 1 chap
Sasa unalinganisha chama cha mafisadi na cdm ambapo watu wanachangia cdm kwa kujificha wasijebambikiwa kesi za ugaidi
 
LIVE UPDATES Tshs. 251.000,000/=.

Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.

Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.

Lakini lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.

Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.

Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.
CCM wanaelewa hilo vizuri sana,ndio maana wapo kwenye panic mode!.
 
LIVE UPDATES Tshs. 255.000,000/=.

Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.

Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.

Lakini lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.

Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.

Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.
Haya sasa, mada kama hii haionekani ubaoni, inabaki huku huku kusikoonekana; lakini zile za kipuuzi za Tlaatlaah, au Lucas Mshamba kila mara zipo ukurasa wa kwanza!

Kuna namna isiyo ya kawaida katika mpangilio wa mada kama hizi hapa jukwaani.
 
Chadema wanastahili pongezi. Chadema haijaanza leo kuchangisha watu. Mbowe na wenzake walipohukumiwa kifungo au kulipa faini ya Sh. 350 milioni zilipatikana ndani ya siku mbili.

Amandla...
 
kwa mTanzania moja tu mzalendo mwenye moyo na mapenzi ya dhati kwa nchi na uaminifu kwa taifa na waTanzania wote 🐒
Wapumbavu wa ccm wanachangiwa na mauza madawa ya kulevya na mafisadi ndio yanaleta story za mtu mmoja kuchaingia,shenzi kabisa, unachangiwa na mafisadi, ma-cartels ya mafuta,mauza madawa ya kulevya na matekaji unatuletea story zao hapa
 
Gentleman,
hata wew licha ya kua ni empty head with always pointless comments,

ilifaa uchangiwe na chadema maana unajitahidi sana kutukana na kuporomosha matusi nonsense jukwaani 🐒
 
Tone tone ya baraza kuu imefika 272,000,000/=.
 
Umetumia lugha raihisi sana kueleweka.
NILIWAHI TOA MCHANGO mdogo kanisani Kumchangia Mchungaji lipatikane gari la kutumia,
Watu walichanga kuanzia mil 2 mpk wa chini kabisa 15elfu,nakumbuka nilitoa 30000 (2014)
Gari ilipatikana ya million 65,kwakweli kutoka Moyoni nikiionaga ile gari najionaga na mm ni mmiliki wa gari hiyo.
 
kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
Ni kwasababu WACHANGIAJI wengi ni WEZI, MAFISADI, WAAUZA MADAWA YA KULEVYA,WAKWEPA KODI, NA AMBAO MIKONO YAO IMECHAFUKA DAMU YA OCTOBER 29!

CHADEMA inapata mchango Toka an innocent peole wenye uwezo wa kiuchumi wa kawaida!!

Kwenu WEZI MAFISADI na wengine wote wanochangia Huwa wanajikomba kwa serikali waendelee kukwepa kodi!!

Pole Gentleman, naona ulifeli SOMO LA LOGIC 🤣🤣🤣 ,hiyo ndo sababu ndugu yangu!!! Veep mnaendeleaje hapo LUMUMBA?? hasa baada ya mlima tumbaku na maharage kusema watu wapiganie Kile Bi Msumi anachoita KIJITABU??😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom