Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

122,000,000/=

HNfPL-rXsAAU3J6.jpeg
 
Nimechangia kwa moyo wangu wote na nitaendelea kuchangia, leo nina kiu ya bia lakini badala ya kupiga maji hii hela yote naipeleka kwenye kule kwenye mapambano dhidi ya kaburu mweusi.
 
LIVE UPDATES Tshs. 144,000,000/=.

Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.

Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.

Lakini lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.

Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.

Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.

View attachment 3632422
image_803b2063-2.png
 
LIVE UPDATES Tshs. 150,000,000/=.

Hatuelew tueleweshe
 
Hapo wangewatafuta na wafanyabiashara Wadogo tupate testimony ya jinsi wanavyochangia hata Kwa kuficha sura zao . Hii itamaliza mchezo wote , watu watakiamini zaidi na wafanye kwa mikoa yote.
 
Back
Top Bottom