Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

HNPov5KWMAAcMMW.jpeg
 
Hii code sisiemu na yule mlevi wao hawawez kuelewa, wao wanajua kuita watu magaidi na wahaini
Kwamba wanaharakati ni wahaini na magaidi wakati tunalelewa na kuaminishwa kila kitu kinahitaji harakati... Hata wao wamefikia hapo walipo kwa sababu ya harakati!
Bila harakati za kudai uhuru wakoloni wazungu wasingetuachia Tanganyika!
Bila harakati za hawa wahaini na magaidi wakoloni weusi hawatoiachia Tanganyika!
 
Siasa sio uadui. Kuna wanaCCM wengi tu wanaoichangia CHADEMA kwenye mambo kama haya tatizo ni baadhi yenu kama Heche wanaotafuna michango.
Mwenye jina amekataa kulitumia UCHAWA mmbaya sana

CHADEMA tutachanga haswa hata wakisema tuchange ya Heche kwenda kunywa komnyeso hatuna shida tutachanga tuu mwaya
 
Post

See new posts
Conversation
Brenda Rupia Jonas
@BrendaRupia
ASANTENI WATANZANIA! MPAKA SASA TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 95

Tumebakiza TSh. Milioni 5 pekee kufikisha TSh. Milioni 100!

"Tunaomba kila mmoja ajali, na siyo mara moja unaacha, kila unapofikiria mabadiliko na utawala bora fikiria kwamba Chadema haiwezi kwenda mbele bila fedha zako" Mhe. Godbless Lema.
 
MILIONI 100 ZIMETIMIA! 🔥

Watanzania mmeandika historia!

Sasa wananchi wamemjibu
@Sativa255
kwa vitendo. Ahadi yake ilikuwa wazi; Watanzania wakifikisha TSh. Milioni 100, naye atachangia TSh. Milioni 2.
Lengo la TSh. Milioni 100 tumelitimiza. Sasa Watanzania wanamkaribisha Sativa kutimiza ahadi yake ya kuchangia TSh. Milioni 2 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
 
Hapo bajeti iko hivi;

Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m

Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Wewe kazi kunywa pombe na kuwasaga wanawake wenzako maalun wewe
 
Yah,
mission ya heche ya kifisidi pesa za chama kujikomboa kiuchumi kibinafsi, baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, imefeli terribly gentleman.

You are very right on that 🐒
Umeajiriwa lini kuwa auditor wa chadema? Internal au external?SI kwa kukomaa Huku!
 
Kumbe una ilmu ya MEMKWA 😄😄😄😄
niliwahi kujitolea kufundisha hilo kundi, aise iliku very interesting class,

mwanafunzi madingi wanakwamba sasa mwalimu, si utuache tupate tumbaku kidogo kwanza ndio uendelee, tuna kiu ya tumbaku 🤣
 
Back
Top Bottom