Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

kuhusu heche mission failed
Yah,
mission ya heche ya kifisidi pesa za chama kujikomboa kiuchumi kibinafsi, baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, imefeli terribly gentleman.

You are very right on that 🐒
 
Ngoja CCM waje wanaitafsiri hio marathon kama aina flani ya maandamano, na wakihisi tu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani, marathon haipo, na pesa italiwa na wenye chama😎
 
Hata vijana wa Liberia walisema tutamchagua muuaji Taylor hata kama aliua wazazi wao. Nyie nyumbu hamna tofauti nao. Kwamba mtachanga tena hata kama walikula michango ya mwanzo.. MJITAFAKARI
Pilipili ya shamba ... Hiki si kile kizazi kiliokotwa na propaganda mfu za ccm.
 
MwanaCHADEMA wa huko sweken unajua nini kuhusu chama chako kuliko mimi mwanaCCM ambaye ni jirani wa Mbowe? Wewe zaidi ya kushangilia kila kitu kinachosemwa na viongozi wako huna unachojua. Hii CHADEMA ilisaidiwa sana na wanaCCM enzi katibu mkuu akiwa Dr Slaa.
Hao Dr Slaa na Mbowe ni zilipendwa. Inaonekana ww ni zama damu, ndio maana unaleta hadithi hizi outdated.
 
Hizo ndizo zinatoka kwa wapiga kura haswa. Za ccm hutoka kwa mabwanyenye abao hawaendi hata kwenye mikutano ya kampeni.
Na mtu akishachangia Ml 100 and above hata akivunja Sheria /kukwepa kulipa Kodi

Serikali haiwezi kumuwajibisha watamchukulia kuwa ni mshikaji

So suala la ulipaji Kodi watasukumiziwa wananchi wa kawaida
 
Yah,
mission ya heche ya kifisidi pesa za chama kujikomboa kiuchumi kibinafsi, baada ya kufilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti, imefeli terribly gentleman.

You are very right on that 🐒
Mkuu hivi Heche unamzidi nini tuanzie hapo.
 
"I am the lecture" hahaa you are the lecture 😂😂😂😂

Lecturer hujui matumizi ya 'a' na 'the' na tofati ya lecture na lecturer, aibu naiona mimi.
in both national and international universities,
na siringi wala nini 🐒
 
Back
Top Bottom