kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida.
Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho.
Lengo hasa la Chadema ni kuwajengea imani wananchi hasa wa hali ya chini, wakione kama mali yao sio mali ya wachache kama CCM inavyoomba kuchangiwa na matajiri kina ASAS na makampuni makubwa ya Oil COM.
Mtu anapochanga hata 1,000 anahisi kimekuwa kama mali yake atakipenda atakiamini atakuwa na uchungu nacho na atakuwa tayari kukilinda kwa hali na mali.
Hapo ndipo ilipo tofati kati ya CCM na Chadema ndio maana kila kinapokwenda kinapata uungwaji mkubwa wa wananchi.
View attachment 3627739
CCM ni wajinga vichwa maji. Eti wanakuja na propaganda za kitoto eti Heche amekula fedha. Propaganda za kijinga na kitoto kweli kweli.Hii code sisiemu na yule mlevi wao hawawez kuelewa, wao wanajua kuita watu magaidi na wahaini
Bajeti ya CCM inayotumia kodi za raia ikoje?Hapo bajeti iko hivi;
Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m
Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
We jamaa uko na ufala sana hata ivyo ela yako baki nayo hatuitaki kabisaHapo bajeti iko hivi;
Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m
Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Chadema haihitaji hela za watu wanonuka damu ya watanzania. Baki na hizo posho zako za Lumumba.Hapo bajeti iko hivi;
Gharama za kikao - Tsh 100m
Heche - Tsh 134m
Lema na wanufaika wengine - Tsh 100m
Mimi nitachangia endapo mtabadilisha tangazo na kuweka wazi kuwa tunachangia gharama za kikao na hela za kutafunwa na kina Heche.
Siasa sio uadui. Kuna wanaCCM wengi tu wanaoichangia CHADEMA kwenye mambo kama haya tatizo ni baadhi yenu kama Heche wanaotafuna michango.Chadema haihitaji hela za watu wanonuka damu ya watanzania. Baki na hizo posho zako za Lumumba.
H ya nini? Neno ni UpoHuko sahihi
WanaCCM kibao wanaichangia CHADEMA. Tatizo ni kina Heche kutafuna michango.Chadema haihitaji hela za watu wanonuka damu ya watanzania. Baki na hizo posho zako za Lumumba.
Kutoka kwa nani?kiasi hicho CCM si itakusanya in less than 5 minutes gentleman? 🤣
KabisaLeo nimechangia tuonane jpili ijayo tena ✌️✌️
Wana CCM wanaoichangia CHADEMA wanataka nini kwa kuichangia CHADEMA?WanaCCM kibao wanaichangia CHADEMA. Tatizo ni kina Heche kutafuna michango.