March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

kwahiyo wakikuyu wako mil 6,173,433?.
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo wakikuyu wako mil 6,173,433?.

Sidhani kama Wakikuyu wanafikisha hiyo namba. Hizo kura ni muungano wa wakikuyu na wakalenjini (anakotoka Ruto) bila kusahau kwamba hata makabila mengine on indvidual basis walimpigia kura Uhuru.

Tiba
 
Subiri tuone!!!

Mnataka ku-round 0.03% to 1%

Hiyo ni kali, labda ingekuwa 0.6% ingeleta 1%

But Kenya Decides
 
Tumia akili wewe!! Hakuna 50% + 1 vote, haaaaaaa, haaaaa.

Itakuwa walioandika katiba ni majuha
 
tumsubiri mchu wa madaraka raila sijui atachochea tena vurugu ili aonewe huruma awe waziri mkuu au la!

Wakenya wanaamini Uhuru alipelekwa ICC kwa kuonewa, watuhumiwa halali ni Kibaki na Raila, ICC iliwabeba kwa vile walikuwa ikulu. Uhuru kapelekwa ikulu ili Kibaki na Raila wapelekwe ICC. Hongera Kenya kwa maamuzi ya haki na haki iteremke kama maji, amen.
 
Subiri tuone!!!

Mnataka ku-round 0.03% to 1%

Hiyo ni kali, labda ingekuwa 0.6% ingeleta 1%

But Kenya Decides

Total cast votes - 12,338,667.

50% of total cast votes - 6,169,333.5.

Uhuru Kenyatta amepata - 6,173,433.0.

Tofauti ya kura za Uhuru na zile 50% (6,173,433.0 - 6,169,333.5) = 4,099.5.

Uhuru ana 4,099 votes above 50%, i.e (50% + 4,099 votes), he only needed (50% + 1vote)

Therefore, he is the winner.

Naamini utakua umenipata vizuri.
 
Hivi odinga ataambulia hata uwaziri wa michezo kweli?jinsi alivyomfukuza Ruto lazima ana hasira nae
 
Subiri tuone!!!

Mnataka ku-round 0.03% to 1%

Hiyo ni kali, labda ingekuwa 0.6% ingeleta 1%

But Kenya Decides

Kuna tofauti kubwa sana kati ya 51% na 50% + 1. Hapa kinachosemwa ni 50% + 1 vote. Hii ina maana mshindi alipashwa apate 50% ya kura zote zilizopigwa na angalau kura moja zaidi.

Tiba
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya 51% na 50% + 1. Hapa kinachosemwa ni 50% + 1 vote. Hii ina maana mshindi alipashwa apate 50% ya kura zote zilizopigwa na angalau kura moja zaidi.

Tiba

mkuuTiba kwani 50%+1 bado kufika?
maana watu tushanunua sare za siku kuu ya kiapo hapa
 
mkuuTiba kwani 50%+1 bado kufika?
maana watu tushanunua sare za siku kuu ya kiapo hapa

Hiyo sasa ni historia. Uhuru amepata hiyo 50% tena si plus 1 bali plus 4,099 votes. Endelea kuweka sare zako sawa!!!!

Tiba
 
mkuuTiba kwani 50%+1 bado kufika?
maana watu tushanunua sare za siku kuu ya kiapo hapa
Mbona zamani ameshafikisha hiyo kitu, hizo sare zivae kabisa usisubiri hata siku ya kuapishwa maana Raila hachelewi kwenda mahakamani akasimamisha shererhe za kuapishwa.
 
Mbona zamani ameshafikisha hiyo kitu, hizo sare zivae kabisa usisubiri hata siku ya kuapishwa maana Raila hachelewi kwenda mahakamani akasimamisha shererhe za kuapishwa.
kama hana ushahidi wa kutosha kutoridhishwa na matokeo akae kimya ila kama ana uhakika aende maana ni haki yake
vinginevyo aache tu maana akishindwa huko tena heshma yake itashuka
 
Kuna watu wana vichwa vigumu utadhani vimetiwa mchanga
(source joti).
*Ili kushinda unatakiwa kupata 50% 1 vote(kura ya mtu mmoja)
*Uhuru yeye ana 50% + 4099 votes(badala ya kuzidisha moja kwenye 50% yeye amezidisha 4099)
*ambazo hizo zilizozidi (4099) ndo zina make 0.03% of all votes casted
so ana 50% + 0.03% so ndo mshindi
hapa hakuna atakayebisha zaidi ya wale 60% ambao ni wahanga wa CSEE 2012
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…