don-oba
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 1,387
- 677
Siyo kweli Mkuu Arushaone, nakataa. Kindly look at kenyan politics in a multi dimensional way. Hapa mshindi ni kabila la kikuyu+kalenjin ambao kwa pamoja they make a significant voteing block kwa siasa za kenya against makabila mengine
1. once again tunashuhudia katika africa yetu ukabila ukitukuzwa na siyo sera ya candidate.
2. Ndio, Ukabila unatukuzwa na siyo personal integrity na uchapakazi wa mtu,
3. The list is looooong........
kwa maana nyingine as long as Kenya lives, kabila la kikuyu na kalenjin litaendelea kuwa na haki ya kutawala kenya simply kwa faida ya uwingi wao na siyo sera za watu watokao kwao.
No matter how much mjaluo au kabila lingine lina sera nzuri hawawezi kuchaguliwa kwa mantiki hii.
Kwangu mimi hii siyo siasa ya ushindani yenye tija, bali ni kukamiana na kusindana kikabila..
Sina uhakika sana kama uhuru ataweza kuongoza kwa ufanisi na kuleta mshikamano kitaifa watu ambao kwa karibu nusu hawamkubali na wanahisi kwamba wanatawaliwa kikabila zaidi. Mhh mimi naona kenya bado ngoma nzito kuelekea demokrasia ya kweli........
kwahiyo wakikuyu wako mil 6,173,433?.
Last edited by a moderator: