Daaaaah naona uhuru kenyatta anapeta!
sehemu kubwa ya matokeo ni kutoka strong holds za kenyatta, tusubiri kwanza watangaze ya kisumu
unajua maana ya utabiri?
uongozi si kila koo zaweza kushika uongozi . hata zamani zilikuwepo koo za watawala ,wengine walinzi,wengine wahunzi n.k hilo suala ni natural.hata waingereza leo pamoja na kujifanya wakongwe wa demokrasia malkia au mfalme hutoka kwenye koo fulani na hurithiwa.na huheshimika na kila mmnoja kama alama ya umoja na upendoBaba yake Karume alikuwa raisi, baba yake Bush alikuwa raisi, baba yake Kabila alikuwa raisi-huko kote sijaona kama uraisi umefanywa wa ukoo!!!
Kituo hiki kinatoa matokeo live KTN Live Stream
Kura zinazoonekana KTN ni 740,000 tu sawa na asilimia 5 ya wapiga kura.
Mkuu Tiba hivi mwamko huu kwetu 2015 unaweza kuwepo? Na nini siri ya mwanko huu?
Hao ushuzi wanaobishana na hiyo habari ukiwauliza saa hizi wako wapi?
Watakujibu wako Kilabuni wanaangalia FUTUHI...
Shenz type