Zanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.
haya matokeo ni ya electronically,hayategemei barabara,yanatumwa by sms baada ya msimamizi wa eneo husika kuwa ameconfirm yakishapokelewa pale boma,wanaconfirm na aliyeyatuma then wanayafeed online.
The only infrasture inayoapply hapa ni intanet.ikigoma utaona screen imestuck,haibadili figure.
Na hapo ujue,ilipofika saa kumi na moja jioni hakuna mtu aliruhusiwa kuingia kwenye foleni,na kwahali ilivyokua kuna uwezekano watu wengi hawakupiga kura.Tatizo hatujui idadi ya waliopiga kura, hiyo 10M haiwezi kufika wala kukaribia labda kama turnout ilikuwa over 98% kitu ambacho sio rahisi, tukiassume kwamba turnout ilikuwa 70% basi idadi iliyobaki ni kama 6M.
Mwaka 2007 inawezekana kweli aliporwa kura na mzee Kibaki na alivyokataa matokeo alipata support ya wafuasi wake na kilichofuata ni kuchinjana na wengine kugeuka wakimbizi ndani ya nchi yao wenyewe, safari hii akikataa anaweza asipate support ya wafuasi wake kwa sababu kulingana na yeye mwenyewe alikuwa chini ya katiba aliyoipigania hakuna wizi wa kura tena. Uhuru angeweza kukubali matokeo kutokana na mimi nilivyomfuatilia mwaka 2002 pamoja na kwamba alikuwa bado mchanga kwenye Siasa lakini alikuwa na support ya Rais Moi ambaye inaaminika alikuwa gwiji wa kubadili matokeo lakini alivyoshindwa alikubali kirahisi sana.Hapo sasa! tusubiri tuone ila ina maana atasema Uhuru kamuibia? Haitaingia akilini.Nadhani itabidi akubali.Hata hivyo sasa hivi wakenya wako aware na ICC.
hahaha ni kama vile Wabongo walivyoakataa Cementi ya 5000 na Elimu bure kutoka kwa Dr. Slaa sio?wakenya soo. Jamaa ana kesi huko icc, ana kashfa ya ardhi lakini wakenya wanaye tu. So far najua anamiliki hekari elf 30 huko Taveta. Hiyo ndio Kenya
Mkuu unaweza kutujuza ni wapi mzee wetu huyu amebugi !
sawa kuna sehemu walitumia manual lakini sio sehemu nyingi ni sehemu chache.Huyo anaeyatuma kwa SMS anayapata wapi na kwa vipi; electronically pia? Unajua kuwa gadgets nyingi hazikufanya kazi kama ilivyotarajiwa hadi manual voting ikatumika?
sawa kuna sehemu walitumia manual lakini sio sehemu nyingi ni sehemu chache.
Huyo anatuma sms anayapokea toka vituo mbalimbali vya county husika,ambayo kwa hapa tufanye ni mkoani.sasa nambia infrasture gani itakuchelewa kufika mkoani tokea kwa mfano meatu kwenda simiyu ndani ya masaa15.si hata kwa bodaboda utafika ndani ya masaa matano.
wakenya soo. Jamaa ana kesi huko icc, ana kashfa ya ardhi lakini wakenya wanaye tu. So far najua anamiliki hekari elf 30 huko Taveta. Hiyo ndio Kenya
wakenya soo. Jamaa ana kesi huko icc, ana kashfa ya ardhi lakini wakenya wanaye tu. So far najua anamiliki hekari elf 30 huko Taveta. Hiyo ndio Kenya
Watu msitoke mapovu sana subirini just mpaka saa sita mchana huu ndio mtajua kwanini Raila Odinga anaitwa Agwambo.
Uhuru hachomoki, Raila lazima atakuwa prezdaa wa Kenya.
Kazi imeaanza.............wacheni wakenya yamewashinda yenu ufisadi na mnashinda giza nyie
Hapo hakuna "endapo mkuu" ni ukweli kabisaYou can imagine jamaa pamoja na kashfa zote hizo bado amepigiwa kura kwa wingi. Lakini ukweli ni kwamba huyu ni Mkikuyu na Wakikuyu inasemekana ni karibu 50% ya wakenya wote, hivyo endapo kura zitapigwa kwa kuangalia ukabila, wakikuyu watatawala Kenya daima.
Tiba
|
|
|
|
|
|
|
|
Hapo hakuna "endapo mkuu" ni ukweli kabisa