Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Zanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.
haya matokeo ni ya electronically,hayategemei barabara,yanatumwa by sms baada ya msimamizi wa eneo husika kuwa ameconfirm yakishapokelewa pale boma,wanaconfirm na aliyeyatuma then wanayafeed online.
The only infrasture inayoapply hapa ni intanet.ikigoma utaona screen imestuck,haibadili figure.