March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Zanta; matokeo yanatolewa kama yanavyopokelewa, sio randomly. Akili ya kawaida ina-suggest matokeo toka sehemu ambazo infrastructure ni bora zaidi kuwahi kutolewa kuliko pembezoni.
Kwa mantiki hiyo huwezi ku-rule out pengo lililopo kufikiwa au hata kupitwa. Almost 10 million votes to be counted yet, ngoma bado mbichi.

haya matokeo ni ya electronically,hayategemei barabara,yanatumwa by sms baada ya msimamizi wa eneo husika kuwa ameconfirm yakishapokelewa pale boma,wanaconfirm na aliyeyatuma then wanayafeed online.
The only infrasture inayoapply hapa ni intanet.ikigoma utaona screen imestuck,haibadili figure.
 
Watu msitoke mapovu sana subirini just mpaka saa sita mchana huu ndio mtajua kwanini Raila Odinga anaitwa Agwambo.
Uhuru hachomoki, Raila lazima atakuwa prezdaa wa Kenya.
 
Huyo anaeyatuma kwa SMS anayapata wapi na kwa vipi; electronically pia? Unajua kuwa gadgets nyingi hazikufanya kazi kama ilivyotarajiwa hadi manual voting ikatumika?
 
wakenya soo. Jamaa ana kesi huko icc, ana kashfa ya ardhi lakini wakenya wanaye tu. So far najua anamiliki hekari elf 30 huko Taveta. Hiyo ndio Kenya
 
Tatizo hatujui idadi ya waliopiga kura, hiyo 10M haiwezi kufika wala kukaribia labda kama turnout ilikuwa over 98% kitu ambacho sio rahisi, tukiassume kwamba turnout ilikuwa 70% basi idadi iliyobaki ni kama 6M.
Na hapo ujue,ilipofika saa kumi na moja jioni hakuna mtu aliruhusiwa kuingia kwenye foleni,na kwahali ilivyokua kuna uwezekano watu wengi hawakupiga kura.
 
Hapo sasa! tusubiri tuone ila ina maana atasema Uhuru kamuibia? Haitaingia akilini.Nadhani itabidi akubali.Hata hivyo sasa hivi wakenya wako aware na ICC.
Mwaka 2007 inawezekana kweli aliporwa kura na mzee Kibaki na alivyokataa matokeo alipata support ya wafuasi wake na kilichofuata ni kuchinjana na wengine kugeuka wakimbizi ndani ya nchi yao wenyewe, safari hii akikataa anaweza asipate support ya wafuasi wake kwa sababu kulingana na yeye mwenyewe alikuwa chini ya katiba aliyoipigania hakuna wizi wa kura tena. Uhuru angeweza kukubali matokeo kutokana na mimi nilivyomfuatilia mwaka 2002 pamoja na kwamba alikuwa bado mchanga kwenye Siasa lakini alikuwa na support ya Rais Moi ambaye inaaminika alikuwa gwiji wa kubadili matokeo lakini alivyoshindwa alikubali kirahisi sana.
 
wakenya soo. Jamaa ana kesi huko icc, ana kashfa ya ardhi lakini wakenya wanaye tu. So far najua anamiliki hekari elf 30 huko Taveta. Hiyo ndio Kenya
hahaha ni kama vile Wabongo walivyoakataa Cementi ya 5000 na Elimu bure kutoka kwa Dr. Slaa sio?
 
Mkuu unaweza kutujuza ni wapi mzee wetu huyu amebugi !

MANI;

Odinga alitakiwa kufahamu ni eneo lipi linawapiga kura wengi waliojiandikisha na alitakiwa kuandaa Coalition yake kwa kufata wingi wa wapigakura,hilo hakufanya alikumbuka baadae na haikuwezekana tena kufanya marekebisho hayo.
Unaingia kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako ana ngome ya 40% of the total vote.Uhuruto wanahangaikia 10%+1 ambayo inaonekana atapata toka kwenye swing state(kwa kigezo cha ukabila).
 
Huyo anaeyatuma kwa SMS anayapata wapi na kwa vipi; electronically pia? Unajua kuwa gadgets nyingi hazikufanya kazi kama ilivyotarajiwa hadi manual voting ikatumika?
sawa kuna sehemu walitumia manual lakini sio sehemu nyingi ni sehemu chache.

Huyo anatuma sms anayapokea toka vituo mbalimbali vya county husika,ambayo kwa hapa tufanye ni mkoani.sasa nambia infrasture gani itakuchelewa kufika mkoani tokea kwa mfano meatu kwenda simiyu ndani ya masaa15.si hata kwa bodaboda utafika ndani ya masaa matano.
 
Naona Kenyan hajaleta update kwa muda sasa. Update saa 03.50 asubuhi (saa za kiswahili)

Uhuru 2,106,966 - 54.37%
Raila 1,592,952 - 41.04%

Tiba
 
sawa kuna sehemu walitumia manual lakini sio sehemu nyingi ni sehemu chache.

Huyo anatuma sms anayapokea toka vituo mbalimbali vya county husika,ambayo kwa hapa tufanye ni mkoani.sasa nambia infrasture gani itakuchelewa kufika mkoani tokea kwa mfano meatu kwenda simiyu ndani ya masaa15.si hata kwa bodaboda utafika ndani ya masaa matano.

Hiyo ya sehemu chache nakuachia wewe, ila kwa taarifa nilizoziona na kuzisoma sidhani kama ni chache. Otherwise tatizo hilo lisingepewa significance hata na tume yenyewe. Hoja yangu kuhusu infrastructure haina maana ya namna ya kutuma tu matokeo, ni pamoja na kutambua mpiga kura, kupiga kura, kukusanya/kuhesabu and all that. Siamini kuwa vituo vilivyotoa matokeo Ukambani na kwa Waluhya vinafika 30%.
 
wakenya soo. Jamaa ana kesi huko icc, ana kashfa ya ardhi lakini wakenya wanaye tu. So far najua anamiliki hekari elf 30 huko Taveta. Hiyo ndio Kenya

You can imagine jamaa pamoja na kashfa zote hizo bado amepigiwa kura kwa wingi. Lakini ukweli ni kwamba huyu ni Mkikuyu na Wakikuyu inasemekana ni karibu 50% ya wakenya wote, hivyo endapo kura zitapigwa kwa kuangalia ukabila, wakikuyu watatawala Kenya daima.

Tiba
 
wakenya soo. Jamaa ana kesi huko icc, ana kashfa ya ardhi lakini wakenya wanaye tu. So far najua anamiliki hekari elf 30 huko Taveta. Hiyo ndio Kenya

wacheni wakenya yamewashinda yenu ufisadi na mnashinda giza nyie
 
Watu msitoke mapovu sana subirini just mpaka saa sita mchana huu ndio mtajua kwanini Raila Odinga anaitwa Agwambo.
Uhuru hachomoki, Raila lazima atakuwa prezdaa wa Kenya.

Sawa, saa sita mchana sio mbali, ngoja tusubiri lakini usiingie gizani!!!!

Tiba
 
You can imagine jamaa pamoja na kashfa zote hizo bado amepigiwa kura kwa wingi. Lakini ukweli ni kwamba huyu ni Mkikuyu na Wakikuyu inasemekana ni karibu 50% ya wakenya wote, hivyo endapo kura zitapigwa kwa kuangalia ukabila, wakikuyu watatawala Kenya daima.

Tiba
Hapo hakuna "endapo mkuu" ni ukweli kabisa
 
00B552B6-9B67-E211-8158-00505687000D.jpg
035.jpg

UHURU KENYATTA
2,052,800​
54 %

AB0C4EF9-E866-E211-A3B9-00505687000D.jpg
021.jpg

RAILA ODINGA
1,549,294​
41 %

C7F1457A-B367-E211-8158-00505687000D.jpg
006.jpg

MUSALIA MUDAVADI
108,801​
3 %

E0BACBCB-1167-E211-A3B9-00505687000D.jpg
009.jpg

PETER KENNETH
21,662​
1 %

E1D5D61D-5B66-E211-A3B9-00505687000D.jpg
001.jpg

MARTHA WANGARI KARUA
13,973​
0 %

425CCD40-5A66-E211-A3B9-00505687000D.jpg
008.jpg

JAMES LEGILISHO KIYIAPI
13,157​
0 %

5FFCD75B-A067-E211-8158-00505687000D.jpg
055.jpg

MOHAMED ABDUBA DIDA
11,549​
0 %

E8FB947D-0767-E211-A3B9-00505687000D.jpg
034.jpg

PAUL KIBUGI MUITE
3,969​
0 %

Ukiona kimya hivi ujue kuna uchakachuaji
 
Hapo hakuna "endapo mkuu" ni ukweli kabisa

Pia kuna some sort of rivalry kati ya kikuyu na jaluo....so kikuyu will support a kamba and not a luo! And vice verser.

Nadhani ndo maana uhusiano kati ya Jomo Kenyatta vs Jaramogi Oginga wasn't in a friendship mode!
 
Back
Top Bottom