Dan4d Hamissi
Member
- Jul 14, 2012
- 34
- 6
What is ICC by the way?
Wanamtafuta raisi wa Sudan miaka kadhaa sasa, lakini bado tu anaongoza! To hell with them. Kuna wanaosema hii mahakama ilitengenezwa kwa ajili ya kuhukumu viongozi wa Kiafrika, inawezekana hii ikawa kweli! Jiulize, kuna wazungu wangapi wamehukumiwa pale na Waafrika wangapi?[/QUOTE maybe you must be suffering from memory loss have you forgotten Slobodam Millosevic & Charles Taylor these leaders were convicted by the ICC
Hapa pia tunawapata live http://www.citizentv.co.ke/live waache kusikiliza habari toka kwa wachakachuaji.Mkuu watu tunaangalia matokeo live kupitia K24 ya Kenya! Acha kusubiri taarifa za Habari angalia vitu live!
What is ICC by the way?
Wanamtafuta raisi wa Sudan miaka kadhaa sasa, lakini bado tu anaongoza! To hell with them. Kuna wanaosema hii mahakama ilitengenezwa kwa ajili ya kuhukumu viongozi wa Kiafrika, inawezekana hii ikawa kweli! Jiulize, kuna wazungu wangapi wamehukumiwa pale na Waafrika wangapi?[/QUOTE maybe you must be suffering from memory loss have you forgotten Slobodam Millosevic & Charles Taylor these leaders were convicted by the ICC
Sijabisha,
Washitakiwa wengi wa ile mahakama ni viongozi wa Afrika, ilhali kuna wahalifu wengi sana wazungu. Watu wa haki za binadamu kama Amnesty Int'l wanasema hakuna usawa kwenye kuwapeleka watuhumiwa ICC kule The Hague. Wahalifu wa kivita kutoka Marekani hawajapelekwa kule, kwa sababu Marekani si signatory wa ile Mahakama, ila Marekani inalazimisha nchi masikini kupeleka wahalifu wao kule. Aliyempa sumu ya Polonium Mwingereza Alexander Litnivienko naye Warusi hawataki kumpeleka huko. Ndio hapo ambapo mie sioni mantiki ya kumhukumu Uhuru kwenye tuhuma tu!
Kura zilizohesabiwa ni karibu na nusu tu ya jumla ya kura zilizopigwa ambazo ni 10,015,755 sawa na 70% ya waliojiandikisha ambao ni 14,308,221. Supporters wenzangu wa Odinga, kura zilizoletwa Bomas nyingi ni from Kenyatta's stronghold. Tujipe moyo!
Ngoja ashinde uone kama wazungu hawali matapishi zao. Hao wanafata maslahi bana,kesi itamgeukia odinga.Uhuru Kenyatta will find it very hard to lead his country if he wins!! Bearing in mind that he has a case to answer in ICC let's keep our fingers crossed and see what he gets out of forcing his way in the Kenyan Top Office
mtazamo wangu utakuwa na
uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana
watumike.sipendi viongozi
wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
huyo mungu uliyemuandika wewe na helufi ndogo labda ni huyu:rockon:mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
Kwako wewe mtanzania unayefuatilia matokeo ya ya uchaguzi kenya je ungependa ninani ashinde katika uchaguzi huu??
wacheni wakenya yamewashinda yenu ufisadi na mnashinda giza jinga nyie
watu mnaofahamu siasa za kenya tuelezeni kuna uwezekano raila kupunguza ili gap kwa vituo vilivyobaki.?. mi nahitaji second round wabaki wawili tuone nani mbabe ..
asante kwa majibu ila ngoja niendelee kuwa tomaso .. nikijaimanisha ndivyo sivyo...Mkuu, hapa sioni kama kutakuwa na second round!!! Uhuru anazidi kujiimarisha kwa kuzoa kura zaidi. Mpaka sasa anamzidi Raila kura karibu 600,542 kwa matokeo ya sasa. Haya matokeo yanakuja randomly kutoka vituo tofauti bila kujali stronghold ya mgombea yoyote. Ingawaje lolote linaweza kutokea, lakini ukweli ni kwamba Uhuru anayo nafasi kubwa ya kushinda kwenye hii round ya kwanza.
Tiba
Simkubali Raila Odinga tangu alopojiunga na ile serkali ya mchina kama vile Maalim Seif kule visiwani,
All da best kamanda Uhuru Kenyatta.