March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

What is ICC by the way?
Wanamtafuta raisi wa Sudan miaka kadhaa sasa, lakini bado tu anaongoza! To hell with them. Kuna wanaosema hii mahakama ilitengenezwa kwa ajili ya kuhukumu viongozi wa Kiafrika, inawezekana hii ikawa kweli! Jiulize, kuna wazungu wangapi wamehukumiwa pale na Waafrika wangapi?[/QUOTE maybe you must be suffering from memory loss have you forgotten Slobodam Millosevic & Charles Taylor these leaders were convicted by the ICC
 
Asante mkuu,inawezakana kabisa maelezo yako yakawa sahihi au la ila ninachosisitiza mimi nafahamu fika dunia nzima hasahasa KENYA YENYEWE inatambua kwamba uchanguzi wa kenya ni wa moja kwa moja lakini ikaonekana haja ya kuwa na tume ya Uchaguzi tena iliyo huru na IKAPEWA JUKUMU LA KUFANYA MAJUMUISHO NA KUTANGAZA MSHINDI.Bado napenda kusisitiza tuendelee kujuzana kinachoendelea kenya lakini kutangaza mshindi wa uchaaguzi kenya kisheria NI JUKUMU LA TUME YA UCHAGUZI.
 
What is ICC by the way?
Wanamtafuta raisi wa Sudan miaka kadhaa sasa, lakini bado tu anaongoza! To hell with them. Kuna wanaosema hii mahakama ilitengenezwa kwa ajili ya kuhukumu viongozi wa Kiafrika, inawezekana hii ikawa kweli! Jiulize, kuna wazungu wangapi wamehukumiwa pale na Waafrika wangapi?[/QUOTE maybe you must be suffering from memory loss have you forgotten Slobodam Millosevic & Charles Taylor these leaders were convicted by the ICC

Sijabisha,
Washitakiwa wengi wa ile mahakama ni viongozi wa Afrika, ilhali kuna wahalifu wengi sana wazungu. Watu wa haki za binadamu kama Amnesty Int'l wanasema hakuna usawa kwenye kuwapeleka watuhumiwa ICC kule The Hague. Wahalifu wa kivita kutoka Marekani hawajapelekwa kule, kwa sababu Marekani si signatory wa ile Mahakama, ila Marekani inalazimisha nchi masikini kupeleka wahalifu wao kule. Aliyempa sumu ya Polonium Mwingereza Alexander Litnivienko naye Warusi hawataki kumpeleka huko. Ndio hapo ambapo mie sioni mantiki ya kumhukumu Uhuru kwenye tuhuma tu!
 
Kura zilizohesabiwa ni karibu na nusu tu ya jumla ya kura zilizopigwa ambazo ni 10,015,755 sawa na 70% ya waliojiandikisha ambao ni 14,308,221. Supporters wenzangu wa Odinga, kura zilizoletwa Bomas nyingi ni from Kenyatta's stronghold. Tujipe moyo!

hamna tumain hapo cz kla dakika Uhuru anazidisha gape so ovius Uhuru z the nxt Prezidaaaaa
 
Uhuru Kenyatta will find it very hard to lead his country if he wins!! Bearing in mind that he has a case to answer in ICC let's keep our fingers crossed and see what he gets out of forcing his way in the Kenyan Top Office
Ngoja ashinde uone kama wazungu hawali matapishi zao. Hao wanafata maslahi bana,kesi itamgeukia odinga.
 
odinga ndio msindi japo katika duru ya pili we subiri odonga ataongoza japo hafikishi 50%
 
Simkubali Raila Odinga tangu alopojiunga na ile serkali ya mchina kama vile Maalim Seif kule visiwani,

All da best kamanda Uhuru Kenyatta.
 
mtazamo wangu utakuwa na
uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana
watumike.sipendi viongozi
wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

hivi ww ndo wanakuita mwizi wa simu?
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
huyo mungu uliyemuandika wewe na helufi ndogo labda ni huyu:rockon:
 
watu mnaofahamu siasa za kenya tuelezeni kuna uwezekano raila kupunguza ili gap kwa vituo vilivyobaki.?. mi nahitaji second round wabaki wawili tuone nani mbabe ..
 
watu mnaofahamu siasa za kenya tuelezeni kuna uwezekano raila kupunguza ili gap kwa vituo vilivyobaki.?. mi nahitaji second round wabaki wawili tuone nani mbabe ..

Mkuu, hapa sioni kama kutakuwa na second round!!! Uhuru anazidi kujiimarisha kwa kuzoa kura zaidi. Mpaka sasa anamzidi Raila kura karibu 600,542 kwa matokeo ya sasa. Haya matokeo yanakuja randomly kutoka vituo tofauti bila kujali stronghold ya mgombea yoyote. Ingawaje lolote linaweza kutokea, lakini ukweli ni kwamba Uhuru anayo nafasi kubwa ya kushinda kwenye hii round ya kwanza.

Tiba
 
asante kwa majibu ila ngoja niendelee kuwa tomaso .. nikijaimanisha ndivyo sivyo...
 
Ile link ya TV iliyokuwa inaonyesha matokeo live imepotelea wapi, mbona siioni tena?
 
kumbuka hata Uhuru alikuwa kwenye hiyo serikali, acheni wakenya wamchague wanayemtaka
Simkubali Raila Odinga tangu alopojiunga na ile serkali ya mchina kama vile Maalim Seif kule visiwani,

All da best kamanda Uhuru Kenyatta.
 
Back
Top Bottom