What is ICC by the way?
Wanamtafuta raisi wa Sudan miaka kadhaa sasa, lakini bado tu anaongoza! To hell with them. Kuna wanaosema hii mahakama ilitengenezwa kwa ajili ya kuhukumu viongozi wa Kiafrika, inawezekana hii ikawa kweli! Jiulize, kuna wazungu wangapi wamehukumiwa pale na Waafrika wangapi?[/QUOTE maybe you must be suffering from memory loss have you forgotten Slobodam Millosevic & Charles Taylor these leaders were convicted by the ICC
Sijabisha,
Washitakiwa wengi wa ile mahakama ni viongozi wa Afrika, ilhali kuna wahalifu wengi sana wazungu. Watu wa haki za binadamu kama Amnesty Int'l wanasema hakuna usawa kwenye kuwapeleka watuhumiwa ICC kule The Hague. Wahalifu wa kivita kutoka Marekani hawajapelekwa kule, kwa sababu Marekani si signatory wa ile Mahakama, ila Marekani inalazimisha nchi masikini kupeleka wahalifu wao kule. Aliyempa sumu ya Polonium Mwingereza Alexander Litnivienko naye Warusi hawataki kumpeleka huko. Ndio hapo ambapo mie sioni mantiki ya kumhukumu Uhuru kwenye tuhuma tu!