March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Raila rais mpya wa Kenya huyu Uhuru Selemani asubili

...hakuna tofauti, issue ni kuwa mwanzo ilikuwa ni matokeo ya awali kama walivyotumiwa toka vituoni, haya ya sasa wanaweka matokeo rasmi kama walivyoyapokea live, mpaka kesho baada ya kuwekwa vituo vingi tutarudi palepale tulipokuwa, Uhuru Kenyatta ameshinda...
 
Hilo ni jimbo moja tu sio la Nchi nzima
tusubiri
 
Ni kweli kabisa kama wameanza upya....ni kweli sasa Raila anaongoza mbali sana 69% kwa 27% za Uhuru!
 
wamekosea
 
Ni kweli wakuu CITIZEN wanaonyesha data hizo lakini ni provisional results kwa majimbo 290.
 
Uhuru 27.5 kura 42,966 raila 69.7 kura 108,805 source citizen tv na bado ipo hewani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dah uchakachuaji mpaka kwenye electronic system, hii ni hatari, wakenya wakimchagua uhuru watakuwa na rais na makamu ambao wanaenda kuhudhuria kesi icc, hii ni hatari kwa taifa la kenya!
 
TUTAZAME KWA MAKINI HIZI KURA; RAILA ODINGA_ VOTES 108,805=69.7% NA KENYATTA VOTES 42,966 = 27.5% wana maana gani hawa CITIZEN TV? wakati mchana walitamka kura zaidi mil 2, kwa kenyatta na kuwa ana 53% na Raila 42%.... au LUGHA kwa sisi wa tz inakuwa ngumu kutafsiri
 
jamani mbona raila anaongoza kwa sasa ana 69.7% na kenyatta ana 27.5%

source: citizen tv
naangalia kwenye ntv wanasema wanarudia kuhesabu kwa mkono.walivyotumia vifaa imeonekana watu walioandikishwa ni wachache kuliko waliopiga kura
 
hahahahaaaaa......!!!!. Habari ndo hiyo!. na hii hanari ni ya kweli aslimia mia. mia
 
Uhuru kenyatta 27.5 %


raila odinga 69.7 %

SOURCE - KBC < CITIZEN < NTV

.......

Kama ni mtihani hujasoma vizuri "instruction". Uhuru an 27.5% na Odinga 69.7% kweli lakini katika jimbo la Kamatate wewe!!! Acha ushabiki wa kizamani.
 

Mkuu wanaanza upya kuhesabu,kuna injinia wa safaricom alikuwa anakwiba kura(keep in mind kinana yupo huko)..uhuru alikuwa anaongoza kidijitali, odinga anaongoza kianalojia.

Ngoma ndo inaanza kama ni gari hata kituoni ubungo halijaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…