Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Kura zote zilizowasilushwa boma sasa yamefutwa na sasa wanaanza kuhesabu upya kazi ipo kwa Kenyatta.
Na kwa sasa Odinga anaongoza kwa zaidi ya kura 110,000 na Kenyatta anafuata kwa kura takribani 40,000
Source: DW habari na BBC Swahili
Uhuru kenyatta 27.5 %
raila odinga 69.7 %
SOURCE - KBC < CITIZEN < NTV
......
Hi DAILY POST,
I saw these 2013 projected election results somewhere and thought that I share.
We are assuming 100% turnout though it may be lower but the ratios still remain. This is the worst case scenario and still UHURU beats RAILA.
Look at the results above
TUTAZAME KWA MAKINI HIZI KURA; RAILA ODINGA_ VOTES 108,805=69.7% NA KENYATTA VOTES 42,966 = 27.5% wana maana gani hawa CITIZEN TV? wakati mchana walitamka kura zaidi mil 2, kwa kenyatta na kuwa ana 53% na Raila 42%.... au LUGHA kwa sisi wa tz inakuwa ngumu kutafsiri
......
Hayo matokeo yanatoka ngome ya ODINGA, bado ngome za Kenyata
Source:BBC SWAHILI
......
Naona kazi imeanza upya!
hadi sasa maeneo 6 ya ubunge tayari ambapo Raila ana 70% na Kenyata 28%
Bado maeneo 285
source: KTN Live Stream
Tuwekee source au link!!!!
......
Mkuu, siasa za Kenya ni ngumu kidogo. Matokeo hayo hayaonyeshi sura halisi kwani wagombea wanapata kura kutoka maeneo waliyo na support. Kwa mfano kisii, Kisumu, Busia, Pwani, Siaya na kwingineko ni sehemu ambako Odinga anakubalika zaidi hivyo usitarajie Uhuru apate kura nyingi huko. Kimbunga cha Uhuru kipo central, Meru na maeneo ya Ruto, subiri results za kutoka pande hizo halafu utaniambia!!!
Tiba
Mkuu matokeo yote yaliyokuwa yametangazwa kupitia electronic devices yamefutwa yote baada ya kushtukia uchakachuaji unaofanywa na kampuni ya safaricom.
Hivyo zoezi zima limeanza upya kwa kuhesabu kura mannually. Hiyo ndo habari ya mjini njomba.
Wanahesabu upya au wanajumlisha upya, hapa sijaelewa vizuri.
Hello Jamii forums! The official results are now streaming in!
Jamaa aliyewashtua CORD kua kuna mchezo mchafu unaendelea katika maswala ya IT huyu hapa:
Engineer James Rege: