March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kura zote zilizowasilushwa boma sasa yamefutwa na sasa wanaanza kuhesabu upya kazi ipo kwa Kenyatta.

Na kwa sasa Odinga anaongoza kwa zaidi ya kura 110,000 na Kenyatta anafuata kwa kura takribani 40,000

Source: DW habari na BBC Swahili

Jamaa aliyewashtua CORD kua kuna mchezo mchafu unaendelea katika maswala ya IT huyu hapa:

reg+im.jpg


Engineer James Rege:

 
Ngoma bado mbichi kwani wameanza upya kuesabu kura uwezi jua kete itaenda kwa nani ila inavosemekana kura za Raila zilikuwa bado hazijaesabiwa na sasa ndo zimeingia boma uenda wakaenda round ya pili 2subili
 
Raila unatisha, Jamaa wanakuogopa mbaya, kama ulimshinda Kibaki, Uhuru hana chake, Lazima kieleweke.
 
Hii ni counter attack! Naona NANI kapewa red na timu ya uhuru inahemewa.
 
Hi DAILY POST,

I saw these 2013 projected election results somewhere and thought that I share.


We are assuming 100% turnout though it may be lower but the ratios still remain. This is the worst case scenario and still UHURU beats RAILA.


Look at the results above

sio kweli.angalia mombasa wapiga kura walikuwa 412,602.na odinga kapata 288,821 na uhuru 123,781.inamaana hakuna kura iliyoharibika wala hakuna mgombea mwingine aliyepigiwa kura.mmmm hii kali sana
 
TUTAZAME KWA MAKINI HIZI KURA; RAILA ODINGA_ VOTES 108,805=69.7% NA KENYATTA VOTES 42,966 = 27.5% wana maana gani hawa CITIZEN TV? wakati mchana walitamka kura zaidi mil 2, kwa kenyatta na kuwa ana 53% na Raila 42%.... au LUGHA kwa sisi wa tz inakuwa ngumu kutafsiri

......

Mkuu matokeo yote yaliyokuwa yametangazwa kupitia electronic devices yamefutwa yote baada ya kushtukia uchakachuaji unaofanywa na kampuni ya safaricom.

Hivyo zoezi zima limeanza upya kwa kuhesabu kura mannually. Hiyo ndo habari ya mjini njomba.
 
Hayo matokeo yanatoka ngome ya ODINGA, bado ngome za Kenyata

Source:BBC SWAHILI


......

Nadhani matokeo jumla hayana tofauti kubwa na opinion poll ambazo zilibashari Uhuru 43% Raila 44%.
 
Raila wins diaspora vote

Cord presidential candidate Raila Odinga won the diaspora vote clinching 1,224 while his Jubilee rival Uhuru Kenyatta garnered 951.
There were a total of 2,637 registered voters in diaspora which was restricted to the East African Community in Uganda, Tanzania, Rwanda and a Burundi.

Restore and Build Kenya Party Kiyiapi got 7 votes, Martha Karua 31, Peter Kenneth 78 votes, Dida 6 and Musalia Mudavadi 20. Safina's Paul Muite polled one vote from the diaspora.

http://www.standardmedia.co.ke/?articleID=2000078783&story_title=Kenya-Raila-wins-diaspora-vote
 
Mkuu, siasa za Kenya ni ngumu kidogo. Matokeo hayo hayaonyeshi sura halisi kwani wagombea wanapata kura kutoka maeneo waliyo na support. Kwa mfano kisii, Kisumu, Busia, Pwani, Siaya na kwingineko ni sehemu ambako Odinga anakubalika zaidi hivyo usitarajie Uhuru apate kura nyingi huko. Kimbunga cha Uhuru kipo central, Meru na maeneo ya Ruto, subiri results za kutoka pande hizo halafu utaniambia!!!

Tiba

Pia ikumbukwe kuwa wakikikuyu na wakalenjini ni wengi mno. Kama kutakuwa na element za ukabila kwenye ngome ya Jubilee basi ngoma ni mbichi na Kimbunga cha Kenyata kitaonekana....
HAYO MATOKEO NI YA NGOME YA RAILA
 
Mkuu matokeo yote yaliyokuwa yametangazwa kupitia electronic devices yamefutwa yote baada ya kushtukia uchakachuaji unaofanywa na kampuni ya safaricom.

Hivyo zoezi zima limeanza upya kwa kuhesabu kura mannually. Hiyo ndo habari ya mjini njomba.

sasa nimepata pict. nilikuwa sijazipata updates hizo wakuu... nimekubali hawa akina UHURU NA RUTO ni WAHAINI kwa asilimia 100... haiwezekani wadanganye umma wa dunia hii zaidi ya siku tatu sasa... sasa naona wanabuni jinsi ya kuroga akili ya wakenya wanaotumia analojia kuhesabia
 
Wanahesabu upya au wanajumlisha upya, hapa sijaelewa vizuri.

...hawahesabu upya, yale ya awali yalikuwa ni matokeo ya awali, means yalitumwa toka vituoni kupeleka taarifa ya vituo kwa IEBC, sasa haya ya sasa actually ni yaleyale ya vituoni ila sasa ni yaliyowasilishwa phyisically, mpaka kesho mchana yakishawekwa ya kutosha tunarudi palepale tulipokuwa mwanzo...
 
Safi sana najifunza mengi kwa mkuu wa tume huru ya uchaguzi wa kenya kijana mdogo lakini alistahili, yako mengi yakujifunza kwake
 
Mungu ni mkubwa ... na Mungu wa siku hizi analipa hapo hapo..... kama utalazimisha kuingia madarakani kwa wizi ama kwa mbinu chafu... utaadhibiwa...
 
Back
Top Bottom