Huku sina hakika kama ni tayari, lakini kwa jinsi ambavyo Raila zingemnyanyua huwezi linganisha na Nyanza Province ambako Uhuru baadhi ya maeneo alikuwa hafikishi hata kura 100.Je kura za Pwani, Ukambani, Turkana na North East Coast, zimekwisha hesabiwa zote?
Usiseme Laki 5, sema gap limepungua hadi laki 4 na elfu sabini. Chezeya Jaluo weye..Raila kaanza kupunguza gap kwasasa katoka laki 7 hadi 5
Haya mkuu pengine ngoja tusubiri.Mambo ya kule Ivory Coast iko tofauti na hii mambo ya Kenya,vile najua ni kwamba the truth juu ya Uhuru na Ruto itakuja kujulikana wakati iyo mashtaka ikianzwa kusilikizwa huko The Hague,so nakushauri we ngojea tu utakuja pata ukweli juu ya hizo mambo,
hapo nusu bado...
Kwani keshafikisha 50% ya kura zote?!Kwa principle za hesabu hapo mshindikashajulikana, kwa principle za siasa mpaka kura ya mwisho ihesabiwe...
ila nahisi cord wanayo matokeo yote vinginevyo wasingekuwa wanatapatapa
Mkuu Tiba naamini tupo pamoja,tafadhali niwie radhi nilisoma bandiko lako ndivyo sivyoMkuu Mwakalinga, sijabishia matokeo halisi hata kidogo. Rudia kusoma alicho report huyo Bwana na pia rudia kusoma kwa makini my observations ndio utaelewa nilikuwa na maana gani. Sikuwa na maana ya kutokubali matokeo ya tume hata kidogo!!!
Tiba
ila nahisi cord wanayo matokeo yote vinginevyo wasingekuwa wanatapatapa
Ni kweli kwa mtu kama Raila haiwezekani kuwa mpaka sasa hana matokeo.....
Mkuu upo sahihi, huyu Raila ni mtata sana. 2007 ndie wa kwanza kuwaruhusu wafuasi wake waingie barabarani. Wakikuyu walishaapa kamwe Raila hataingia madarakani kama raisi.Anajiandaa kwenda mahakamani, hakubaliani na digital yani software na hakubaliani na hardcopy yani akili na mikono. Ha ha ha ha
Nafikiri ICC watagundua mtata ni nani ktk uchaguzi huu.
Uhuru tumemtanguliza kwa baiskeli ya mabua.
Hapa mwisho wa siku Odinga anashinda.
hahahahaaaa...!!!..kutangulia sio kufika. mia