March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Je kura za Pwani, Ukambani, Turkana na North East Coast, zimekwisha hesabiwa zote?
Huku sina hakika kama ni tayari, lakini kwa jinsi ambavyo Raila zingemnyanyua huwezi linganisha na Nyanza Province ambako Uhuru baadhi ya maeneo alikuwa hafikishi hata kura 100.
 
Mambo ya kule Ivory Coast iko tofauti na hii mambo ya Kenya,vile najua ni kwamba the truth juu ya Uhuru na Ruto itakuja kujulikana wakati iyo mashtaka ikianzwa kusilikizwa huko The Hague,so nakushauri we ngojea tu utakuja pata ukweli juu ya hizo mambo,
Haya mkuu pengine ngoja tusubiri.
 
72435_573438102677529_1363461534_n.jpg
 
Kwa principle za hesabu hapo mshindikashajulikana, kwa principle za siasa mpaka kura ya mwisho ihesabiwe...
 
Mkuu Mwakalinga, sijabishia matokeo halisi hata kidogo. Rudia kusoma alicho report huyo Bwana na pia rudia kusoma kwa makini my observations ndio utaelewa nilikuwa na maana gani. Sikuwa na maana ya kutokubali matokeo ya tume hata kidogo!!!

Tiba
Mkuu Tiba naamini tupo pamoja,tafadhali niwie radhi nilisoma bandiko lako ndivyo sivyo
 
Last edited by a moderator:
ila nahisi cord wanayo matokeo yote vinginevyo wasingekuwa wanatapatapa

CORD na Jubilee walikuwa na timu zao za kujumlisha kura, kupitia mawakala wao waliokuwepo kwenye vituo vya kupiga kura, na kazi hiyo walishaimaliza by jumanne, hivyo wanalia sasa kwa sababu wanajua matokeo ya mwisho yakoje.
 
Mwana anarejea nyumbani alipokulia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wengine hatusikilizi radio, update za jioni zikoje?
 
Anajiandaa kwenda mahakamani, hakubaliani na digital yani software na hakubaliani na hardcopy yani akili na mikono. Ha ha ha ha
Nafikiri ICC watagundua mtata ni nani ktk uchaguzi huu.
Mkuu upo sahihi, huyu Raila ni mtata sana. 2007 ndie wa kwanza kuwaruhusu wafuasi wake waingie barabarani. Wakikuyu walishaapa kamwe Raila hataingia madarakani kama raisi.
 
Uhuru tumemtanguliza kwa baiskeli ya mabua.
Hapa mwisho wa siku Odinga anashinda.
hahahahaaaa...!!!..kutangulia sio kufika. mia
 
na safari hii hakuna serikali ya mseto...so uhuru aanze biashara ya kuuza mirungi tu...

Shenz type
 
Back
Top Bottom