Huku sina hakika kama ni tayari, lakini kwa jinsi ambavyo Raila zingemnyanyua huwezi linganisha na Nyanza Province ambako Uhuru baadhi ya maeneo alikuwa hafikishi hata kura 100.Je kura za Pwani, Ukambani, Turkana na North East Coast, zimekwisha hesabiwa zote?