March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

sehemu kubwa ya matokeo ni kutoka strong holds za kenyatta, tusubiri kwanza watangaze ya kisumu
 
Matokeo ya uchaguzi wa Tanzania unapoanza kutangazwa, huwa wanaanza kuonyesha kuongoza kwa upinzani! ngoja mpaka mwisho uone! tunachukua, tunaweka, waa! mshindi ni chama tawala! sasa hapa anaongoza Kenyata ni kweli lakini mwisho atapigwa knock out na Odinga! huyu ndie anatakiwa na nchi za Magaribi na Kenyatta sahauni!

Jipe moyo ndugu, ila Kenyatta ndo anachukua hivyo
 
Mimi siyo Mkenya lakini napenda Uhuru ashinde
 
Hadi sasa Uhuru ana zaidi ya laki sita na Raila ana zaidi ya laki nne.
 
Baba yake Karume alikuwa raisi, baba yake Bush alikuwa raisi, baba yake Kabila alikuwa raisi-huko kote sijaona kama uraisi umefanywa wa ukoo!!!

Nikupongeze Kuntakinte kwa "political maturity" uliyo nayo. Kwamba cha msingi ni ubora wa mtu, hata kama ana nasaba na rais au kiongozi yeyote ambae alishaongoza. Aidha hata kama rais atatoka sehemu moja ya nchi mfululizo (geographically), au hata kama atakuwa wa dini ile ile n.k. Yaani wewe haya hayakupi tabu.
 
Last edited by a moderator:
sasa utabiri usipofanyika mapema huo hautakuwa utabiri bali simply stating the fact

Nadhani yeye hakuwa anatabiri kama shehe yahaya au tb joshua. He was just trying to state the fact baada ya kuona kenyata anaongoza
 
Kwa udini...

Kuna wilaya nilishuhudia baada ya kuona udini live wakaja na slogan Msalaba mbele!!!

Hii ilikuwa live hadi wengine tukaishia kutoa macho tu!!!
 
Daaaaah naona uhuru kenyatta anapeta!
 
Odinga laki 4.4-
Uhuru laki 6.2-
sc citizen
kura bado nying hazijahesabiwa.
Tafadhal tuzid julishana.
 
Back
Top Bottom