Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Kenyatta anazidi kumpeperushia manyoa Raila... Gap la 500,000, labda awasiliane na ccm wamfundishe au kumsaidia namna ya kukimbia na masanduku au kuchakachu matokeo....
Hayo ni matokeo ya County sio ya nchi nzima, angalia vizuri!!!!
Tiba
Kutazama gemu ya Real Madrid??unaweza pia kutazama live kupitia citizen Watch CitizenTV Live! - Citizen TV - Kenya
ha ha haaa, Africa bado sana na mambo ya technology! Mnakumbuka kipindi kile kwa Bush, USA ilibidi jimbo moja, nafikiri California ilibidi kura zihesabiwe kwa mkono?
Yawezekana anacholisema Tiba ni sahihi lakini ukweli ni kwamba kura hazijaisha kuhesabiwa kwa hiyo sio rahisi kujua idadi ya watu waliopiga na kama wameshajua idadi ya waliopiga toka jana kazi ingekuwa imeshaisha maana hizo percentage toka jana zinatolewa kwa maana hiyo kama unakubali maelezo ya Tiba kwamba idadi ya waliopiga inajulikana obvious kwa muda wote huo hata kura za mmoja mmoja zingekuwa zishajulikana na kazi ingekuwa imeshaisha.
Kamchezo kama ka CCM?
....... inavyoonekana uhuru atashinda ilingali wengi hawakubaliani nalo wanasubiria kesho kuona watu watapokeaje hayo matokeo. kweli africa sijui tukoje tuwaombee hili jambo lipite salama lisipopita ni balaa, maana kenya mambo yakiharibika ni matatizo hata kwetu
Man utd 0-0 rmadrid halftime,endeleeni kufuatilia matokeo ya urais mimi nawaletea y soka hukuhuku
Mkuu ni sawa lakini usimchanganye Mungu kwenye mambo ya uchaguzi, kwanza utawala wa Mungu hauna cha kupiga kura, ni dictatorship kama jeshi!!
Ndio kilichofanyika. Baada ya IEBC kupewa report ya hizo failures ikatoa ruhusa kwa wasimamizi kutumia hard copies kuidentify voters. Wanasema walikuwa na hard copies ready just in case. Halafu mtandao ukaenda down for 6 hours kwa hiyo kukawa hakuna mawasiliano kati ya IEBC na vituo kwa muda huo kupitia mtandao uliowekwa. Mimi sio mtaalam wa IT lakini kwa kutumia common sense mojawapo ya sababu ya mitandao kuwa chini marekebisho kufanyika, sasa hapa tunaweza kujiuliza kuna marekebisho gani yalikuwa yanafanyika?
Kazi ni Nzito sana...
Hapo yawezekana mabeberu wameagiza hivyo baada yakuona kipenzi chao anapelekwa puta.
Server zita crush vipi zote kwa mkupuo?.... Hii wanayosema mie sii amini sana kama ni sababu.
Hawa IEBC mimi nina soo nao especially when it comes to civil education. Nashangaa kwa nini hawakufanya
elimu jamii in regards to this matter. Kura zilizoharibika ni nyingi mno!