Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,255
thanx, noted.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanx, noted.
unamsikia Shaka Salli na abdul shakur abood toka nairobi. fungua STAR TV. THEN UTAELEWA KUWA KENYATTA EARLY LEAD RESULTS ARE NO LONGER HELD AS OFFICIAL RESULT FROM IEBC. PERIOD . I CANT GO TO SLEEP UNTIL EVERYTHING IS ON THE OPEN
Mungu ni wa ajabu sana......atabaki kuwa Mungu: Baada ya tume ya uchaguzi kuamua kuhesabu kura manually sasa Odinga anaongoza ana kura 71% na Kenyatta kura 28.3%. Kenyatta na Ruto ni hatari........walipanga na programa wa komputa ili kura za Kenyatta ziongozeke na za Raila zipungue lakini Mungu amewaumbua, hii mbinu ilikuwa imefanikiwa kwa ajili ya pesa. Mungu tunakushukuru.
KENYATTA: 56.3%518,092 votesODINGA: 40.7%374,508 voteskuhesabu kura manually sasa Odinga anaongoza ana kura 71% na Kenyatta kura 28.3%. Kenyatta na Ruto ni hatari........
duuu wasiwasi wangu ni Kinana tu, akikajua hako kamchezo ka ku-hack haki ya mama CDM hatuna chetu 2015Mkuu heshima mbele. Afazali gap ya laki mbili kuliko ile ya nusu milioni. Cheki hii graph niliopata sehemu kuonyesha 'arithmetic progression' ambayo ilikua inaendelea baada ya jamaa ku-hack system ya IEBC...![]()
..Provisional results zinakoma pale kunapokuwa na official results, lakini hiyo haimaanishi kuwa official results zitakuwa tofauti na provisional results...
In Raila Omolo Odinga we trust, Pipoooooooooz! Pawaaaaaaaaaaaaaaaa!
It is a customary for every african presidential contestant boasting to win the poll even before the results are officially released.inaonekana odinga amesha jumlisha matokeo ya vituo vyote na anajua kuwa ameshinda coz bbc amesema anacofidensi kuwa atashinda
Mungu ni wa ajabu sana......atabaki kuwa Mungu: Baada ya tume ya uchaguzi kuamua kuhesabu kura manually sasa Odinga anaongoza ana kura 71% na Kenyatta kura 28.3%. Kenyatta na Ruto ni hatari........walipanga na programa wa komputa ili kura za Kenyatta ziongozeke na za Raila zipungue lakini Mungu amewaumbua, hii mbinu ilikuwa imefanikiwa kwa ajili ya pesa. Mungu tunakushukuru.
...I CANT GO TO SLEEP UNTIL EVERYTHING IS ON THE OPEN
Hiyo ni Kumchinja Kobe stylish Ndugu Ab-Titchaz!!Ukienda kulala ukiamka jua imekula kwako mkuu!...Huyo Isaack mwenyewe nasikia kapiga 36hrs bila
usingizi. Zile kura za '07 watu walienda kulala walipoamka wakamkuta Kibaki tayari keshaapishwa!
Ogopa sana watu sampuli hii.
Who is James Rege?
James Rege expert wa IT na nguli wa masuala ya Mawasiliano Africa. Alikuwa na ni mmoja wa waanzilishi na Mkurugenzi wa kwanza wa Vodacom Tanzania mwaka 2000. Pia alikuwa ni mmoja wa wanahisa wa Vodacom kabla ya kuuza hisa zake na kurudi Kenya na kuwa Super dealer wa Safaricom na biashara za Courier.
Baada ya kuondoka Tanzania alipata pia kuwa Permanent Secretary. Mwaka huu amegombea ubunge jimbo la Karachuonyo kwa tiketi ya ODM na kushinda.
Huyu ndiye aliyestukia mchezo wote uliofanywa na Safaricom of course kuna insiders wamempa hint na si suala la bahati mbaya.
Latest Presidential OFFICIAL Results (14,308,221 registered voters):
____________________________
10:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 445,810
Raila Odinga - ODM: 332,053
21 out of 291 Constituencies results
____________________________
09:35 pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 444,034
Raila Odinga - ODM: 209,578
18 out of 291 Constituencies results
____________________________
07:05 pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 42,966 (27.5%)
Raila Odinga - ODM: 108,805 (69.7%)
6 out of 291 Constituencies results
____________________________
For previous Presidential Provisional Results as of March 04-06, 2013, please READ THIS POST Live March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!